Ushauri; ndugu yangu analazimishwa kuolewa

Ushauri; ndugu yangu analazimishwa kuolewa

Joined
May 4, 2017
Posts
57
Reaction score
63
Habari zenu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Ndugu yangu kipenz analazimishwa kupeleka mchumba nyumbani na aolewe sababu kubwa ni amelelewa sana na ndugu hivyo wengine wanataka aolewe kwa nia njema na wengine wanataka aolewe kwa maana wamemtafutia mchumba wao ila sasa tatizo ni tofauti na dini yake na ila ndugu yangu hataki kuolewa pia na huyu mtu anajiweza kipesa yeye hataki mwanaume amuoe kwasababu ya hela alizonazo anataka mwanaume ampende

Hivyo yeye hayupo tayari kuingia kwenye ndoa kwasababu anataka mtu aliyempenda na sio kwasababu ya mali.

Sasa yupo tu analia hana cha kufanya na yupo katika mahusiano mabichi ambayo hawezi kumwambia huyo mkaka amuoe itakuwa ni ajabu na mapema sana

Sasa hajielewi ukizingatia hao hao ndugu ndo wamemlea tangu akiwa na miaka 11
 
mwambie siku ya harusi asisahau kutualika
 
Km hawez kujitegemea mwenyewe kwa ninavyofkiri anaonekana mzigo so bora amueleze huyo mchumba wake ukwel km ataamua kumuoa kama hawez aolewe tu na huyo mwngne
 
Km hawez kujitegemea mwenyewe kwa ninavyofkiri anaonekana mzigo so bora amueleze huyo mchumba wake ukwel km ataamua kumuoa kama hawez aolewe tu na huyo mwngne
Si mzigo amewezeshwa/amepewa mtaji na ndugu zake afanye biashara
 
Back
Top Bottom