I'l miss you

I'l miss you

Ben Saanane

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2007
Posts
14,580
Reaction score
18,230
Wakuu,

Nachukua break kidogo kuchangia hapa.Mitihani yangu ya mwisho imenibana sana,Inanitoa Jasho.Nimejaribu kutenga muda kidogo wa kuchungulia humu ,Jukwaa la siasa,Uchumi,jukwaa la kimataifa nk. but naona shughuli inazidi kuwa nzito

Nikipata muda kama dakika 20 nitakua msomaji tu humu na kuchangia nitakapoweza.

Pamoja always!
 
We will miss you too mkuu... Maisha binafsi yana umuhimu kuyaweka sawa mkuu... NENDA Kajiweke sawa. Tunakuombea mafanikio
 
Wishing you success on your exams, may your dreams come true.
 
Poa mwana maandalizi mema, nina hakika wengi kama si wote hapa jamvini tunaelewa pepa linavyotukimbiza. Be good and do good!
 
Poa mwana maandalizi mema, nina hakika wengi kama si wote hapa jamvini tunaelewa pepa linavyotukimbiza. Be good and do good!

Pamoja always mkuu....Kamastaz kangu kananitoa jasho
 
Jamani nitakumiss..Nakutakia mitihani mema na ufanikiwe katika ndoto zako..
 
Mtihani mwema Ben.......maandalizi mema...Ukimaliza mitihani urudi mkuu...Usitokomee kimoja
 
Wakuu,

Nachukua break kidogo kuchangia hapa.Mitihani yangu ya mwisho imenibana sana,Inanitoa Jasho.Nimejaribu kutenga muda kidogo wa kuchungulia humu ,Jukwaa la siasa,Uchumi,jukwaa la kimataifa nk. but naona shughuli inazidi kuwa nzito

Nikipata muda kama dakika 20 nitakua msomaji tu humu na kuchangia nitakapoweza.


Pamoja always!
Pnegine unahitaji mapumziko kwa kuwa hapa baana, usipigane kwa kasi sana kihivyo bana unapopata wasaa badilisha mawazo bana (mwaga oil, weka mpya). Hata vitani mzee si unaona "viburudisho"...

Oky, Pole sana na kila la kheri!!
 
All the Best wajina! Mungu akutangulie ktk mitihani yako Baba!
 
Kila la heri katika mitihani yako Ben.....tutakumiss pia!
 
Best of wishes Ben, tunakuombea utoke na flying colours.
 
Back
Top Bottom