Wakaka hivi wadada tunapokuja kwenu alafu mnatuacha tunaondoka hivihivi huwa mnamaana gani?

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Habari zenu jf members!

Kati ya vitu adimu tulivyojaliwa wanawake ni hali ya kuficha hisia katika mambo ya mahusiano, iwe kupenda,ham ya kusex, siku zote ni vigumu msichana kumtamkia mvulana kuwa anampenda au ana ham ya kufanya mapenzi

Wadada hata tubanwe vipi na ile ham huwa hatuna ubavu wa kumtamkia mvulana direct kwamba tuna ham ya sex ila matendo yetu tu na mitego mkaka anayejielewa atajua tu girl wake anataka kufanywa nini.

Hivi inakuwaje girl wako atoke kwao hadi kwako then umuangalie tu kama picha ya ukutani?. Hivi mshawahi kujiuliza msichana mwenye akili zake atoke kwao akufwate kwako tu alafu unamwangalia tu hadi anaondoka.

Tena wadada tukizidiwaga na ham hasa tukifika nyumbani kwa wale wakaka wenye mageto huwa tunakaaga kitandani kabisa ila sofa tunalionaga lakini ili kuwarahisishiaga kazi huwa tunakaa tu kitandani,

Unakuta mkaka unamuwashia girl wako TV lakini anakwambia uzime hajiskii kuangalia, unamuwashia feni anakwambia "please usiwashe naskia baridii" then anakwambia "funga mlango nzi wataingia ndani"

Lakini pamoja na mitego yote hiyo utakuta mwanaume anamuacha girl anaondoka na ham yake bila kumgusa

Wakaka mna huruma nyiee
 
jamajamaniawanakaka mnauhurumahnyieeee==========================================================
Mwanaume kama huyo atakuwa hayupo vizuri kiafya.
 
Hiyo ni kwa wazembe tu...wala chipsi mwanaume anayejionheza hilo haliwezi tokea hata siku moja unless akufanyie makusudi.
 
Huyo mwanaume atakuwa hajitambui kbs. Yani ukiniambia unakuja geto, kwanza naanda mazingira, muda wote nakusubiri dushe ishachukia mpaka mishipa inauma, yani kitendo cha kufika geto na kukaa kitandani hata hicho kinguo cha ndani sikivui nakisogeza upande namaliza halafu ndio tutaanza kusalimiana na kujuliana hali, baada ya muda ndio tucheze mechi za mikogo.
 
Habari zenu jf members!

Kati ya vitu adimu tulivyojaliwa wanawake ni hali ya kuficha hisia katika mambo ya mahusiano, iwe kupenda,ham ya kusex, siku zote ni vigumu msichana kumtamkia mvulana kuwa anampenda au ana ham ya kufanya mapenzi

Wadada hata tubanwe vipi na ile ham huwa hatuna ubavu wa kumtamkia mvulana direct kwamba tuna ham ya sex ila matendo yetu tu na mitego mkaka anayejielewa atajua tu girl wake anataka kufanywa nini.

Hivi inakuwaje girl wako atoke kwao hadi kwako then umuangalie tu kama picha ya ukutani?. Hivi mshawahi kujiuliza msichana mwenye akili zake atoke kwao akufwate kwako tu alafu unamwangalia tu hadi anaondoka.

Tena wadada tukizidiwaga na ham hasa tukifika nyumbani kwa wale wakaka wenye mageto huwa tunakaaga kitandani kabisa ila sofa tunalionaga lakini ili kuwarahisishiaga kazi huwa tunakaa tu kitandani,

Unakuta mkaka unamuwashia girl wako TV lakini anakwambia uzime hajiskii kuangalia, unamuwashia feni anakwambia "please usiwashe naskia baridii" then anakwambia "funga mlango nzi wataingia ndani"

Lakini pamoja na mitego yote hiyo utakuta mwanaume anamuacha girl anaondoka na ham yake bila kumgusa

Wakaka mna huruma nyiee
Ukikutana na mimi mbona utaomba poo!
 
hahahah huyo mwanaume jina kama kusoma hajui hata picha haoni!!
 
Back
Top Bottom