Habari Zenu Ndugu zangu .
Leo nakuja Na Hiki kitu Ambacho Kidogo naona Dada Zetu Mnajisahau sana. Na Hakuna Kitu Kinampa Mtu heshima kama Familia. Mwanaume usipooa Utasemwa Ila Mwanamke...
unajua sisi wanaume mabaradhuli/mabazazi tuna mbinu nyingi sana za kupata demu tunapomuhitaji. nlipokuwa chuo nakumbuka nliwah mpenda mtoto mmoja ila alikuwa ana nata sana,hajatulia na halafu...
Siku hizi imekuwa kawaida unakuta binti hana kazi na hata shule pengine hakwenda inavyopasa na kuolewa hajaolewa au hana mtu anaefahamika. Lakini unakuta binti huyo analetewa shida za ndugu hadi...
Dunia ina mambo kweli na kama unaendelea kushangaa ya walimwengu bila shaka utajionea ya firauni.
Wachumba waliodumu kwa miaka sita kwenye uchumba wao bila kuingiliana kimwili wamejikuta kwenye...
Nina mchumba wangu jamani huyu kaka mimi simuelewi tumepanga kuishi pamoja kuanzia DEC swala linakuja mimi nakaa kwangu na yeye anakaa kwake yeye anakazi nzuri inamuingizia kipato kizuri tu kwa...
Mitandao hii ya kijamii imekuja na mambo mengi ikiwemo mahusiano. Watu wanakutana, wanachangia mada, wanaelewana, mwisho wanatafutana kuonana, na mahusiano yanaenda nje ya mitandao.
Tumeshuudia...
Mimi naitwa Peter John ni mkazi wa Dodoma nina umri wa miaka 27, natafuta mchumba wa kuoa, awe na sifa zifuatazo;
Awe na elimu kuanzia form four
Awe mkweli
Kwa mawasiliano zaidi namba yangu ni...
Umemfahamu binti na moyo wako umemkubali. Umemzoesha kumpa lift na ile vitz yako ya mkopo kumrudisha kwao akitoka kazini.
Ijumaa ya leo anakwambia atapitia kwa mama mdogo Upanga kuna mzigo wa...
Mimi kama mdau wenu wa jamii forum nilileta uzi huku wakufarakana na mr nilifanyia kazi mawazo yenu nikajifanya mjinga mambo yakaenda sawa siku zote unaambiwa bora kujifanya mjinga ili uwe na...
Wakuu habari gani,
Poleni kwa kulala na hongereni kwa kuamka salama, ni asubuhi ingine tena ya baraka Mungu katupatia; kwa wale walio double nawapa pole kwa uchovu wataoamka nao, ila...
Natafuta rafiki ambaye tutafahamiana na mungu akijalia awe mchumba Kama tutaendana
Awe mkiristo na mwenye hofu ya mungu wa Kabila lolote
Awe mzuri wa roho na mwili yaan rangi ya maji ya kunde au...
Zamani ilikuwa ni kama tabia hivi kushuhudia mabinti wakilia hadi wakitoa machozi siku za ndoa zao Lakini Anadumu kwenye ndoa...ILA SIKU HIZI SASAAAA...Unamkuta mdada mimacho kodoooo na kulisakata...
Iam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm
I am 28,
Naishi Dar...
Hellow JF,
Mimi ni mwanamke, nina rafiki wa kiume ambae tumezoeana sasa kuna ishu ambayo nilitakiwa kufanya, ila nilishindwa kuitekeleza kwa sababu ya kupungukiwa kiasi cha fedha, basi huyo...
Habari za jioni wenzangu,
Hivi wadada mnasumbuliwa sana kwenye mitandao au ni kwakuwa mimi ni mgeni hapa? Mtu hakujui ashatoa ahadi kibao mara nina Carina, ooo mara kiwanja changu nakifanyia...
Mimi mwenzenu nahisi na tatizo .yahni mm ni miongoni mwa wasichana watulivu na wanaojua kulidhika wanapokuwa na mpnz n Huwa nakuwa mmoja tu tatizo langu kubwa ni wivu..nina wivu sana na...
Habar ya weekend
Kuna baadhi ya warembo huwa nawashangaa wanavyolialia baada ya kuachwa ukweli huwa wanajiroga wenyewe ndo maana mnaachwa
Nasema hivi kwa sababu
Mdada unasuka nywele unakaa nazo...
Many of you might ask ,so what's the attraction? Why do girls like it dirty? In my side, it basically comes down to a man looking like a man. Sure, it's a bit archaic, but I like a manly, rough...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.