stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,223
- 5,150
Kweli nimeamini haya maneno.
USTAARABU ANZA UTOTONI UKIANZA UKUBWANI UTAISHIA NJIANI.
Rafiki yangu wa damu kabisa, ninavyosema wa damu namaanisha kuwa ni rafiki ambae nimeshibana na tumeshibana yaani kwa raha na kwa shida tupo pamoja.
Cha ajabu ananipigia simu na kuniambia kua kapata msichana mpya sasa anataka kuja nae kwangu kama kujionyesha, papo hapo nikamwambia usijaribu kuja nae kwangu, japo namwambia huku roho yangu ikiniuma sana, hadi sasa kanikasirikia, kisa kumkatalia kuja nae kwangu.
JE HUU NI USTAARABU?
Kumleta msichana wako katika nyumba ya rafki yako yenye familia?
Wanajamvi naomba mnishauri vile sina raha kabisa kwa jinsi alivyonikasirikia huyu best wangu.