Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.
Mmetoka tu reception bwana harusi...
Hellow wakuu,
Kwa wale tunaoishi kwa kuunga unga , tunaofanya kazi za kijungu jiko,
Leo nawaletea chimbo la kujipatia watoto kirahisi kabisa,
Unachotakiwa kufanya hakikisha upo kwenye magroup...
Huyu binti ni jilani angu hapo mwanzo nilimtokea akakataa kabisa lakini siku zilivyozidi kupita akawa anajikoki mwenyewe na kujipendekeza kwangu.
Sikutaka kumuonesha kua sina time nae tena kwani...
Sisi wanaume tukitaka kwa dhati kweli huwa hatukosi.Ni mtu tu moyo wako umependa wapi na imempenda nani?
Juzi tu dogo janja alikuwa analialia mara oooh yule mazaaa namzimia kichizi na nikipata...
Habari ya uzima wanajamvi.
Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada husika.
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua kila mtu ana bahati ya kupendwa na mtu fulani lakini mara nyingi binadamu huwa...
Buena Sabado amigos
Ama kweli kuwa na mpenzi mfanyakazi wa kuajiriwa ni taabu kweli kweli
Wale wanaolalamika kunyimwa unyumba na wapenzi/wake zao kisa tu uchovu wa kazini ni kweli jamani Mimi...
Habari za muda huu wadau
Katika siku za karibuni kumeibuka wimbi la watu mbalimbali ikiwamo viongozi wa dini kuingia katika mtego wa kuamini kwamba mapenzi ni ngono na ili mumeo au mkeo...
Kama kichwa kinavyojieleza..
Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months
Sifa:
Muislam
Hajazaa
Between 20-30 yrs
Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada
Elimu yeyote
HIV free
Sifa zangu...
Kama umewah kumtoa dem bikra au umewah kutolewa na mwanaume basi lazma uwe umekumbana na mieleka
Mimi niling'atwa shingoni na kukwaruzwa mgongoni sitasahau
Habari za jumapili wapendwa nawatakia jumapili njema na dominika njema.
Najuwa hali ya maisha ni ngumu na tuna madeni mengi leo nimekuja kwa ushauri hasa kwa wanafamilia tuanze kufurahia zawadi...
Kuna mambo huwa hutuyafikiri lakini hutokea katika maisha yetu,
Katika jamii za kiafrika, Wakwe zetu ni watu wa heshima sana na mara nyingi tunapokutananao huwa tunajitahidi heshima hiyo...
Zipo sababu kedekede / nyingi ila hizi zifuatazo ndiyo sababu Kuu hasa baada ya kuzifanyia ' utafiti ' wa kina na wa muda mrefu wa kujua ni ' viashiria ' gani vikubwa vinavyoweza kukuambia kwamba...
1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko
2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja
3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa
4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na wanawake.
5. Kuna...
Habari wana jamvi,
Kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka,
Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1.Awe Muislam mwenye imani na dini
2.Umri 22-24
3.Elimu kuanzia kidato cha 6 na...
Ninafikiria kufanya ushawishi kwa makanisa yetu waweke kipengele cha probation kwamba ndoa iwe katika matazamio kwa miaka angalau mitano, then ndio mnarudi kanisani kipewa vyeti kamili.
Siku hizi...
Wazima wakuu?
Hivi hii kweli inatokeaga kwenye jamii??
Mfano, kaka na dada, wote hawatokani na tumbo mmoja lkn wanatoka ukoo mmoja ila mababu zao wa nyuma wanashare eitha mzazi mmoja au wote...
Ni tabia ya wanawake wengi waliopo kwenye ndoa kukomba kila haina ya kipodozi kupaka mwilini pindi aendapo sokoni, na ikibainika kuwa aina ya kipodozi fulani yeye hana na kipo kwa mpangaji wa...
Habari za muda huu makamanda,
Ni matumaini yangu mpo vyema kama kuna mgonjwa basi Mungu amponye
Haya twende na hii
Leo mida ya saa tatu tatu hivi baada ya kumaliza kucheki game la watani wa jadi...
Habari zenu!
Ninaandika ujumbe huu kwa masikitiko sana na nimekosa raha kabisa baada ya mpenzi wangu ninaempenda sana kunitamkia kua hua simridhishi kwa sababu uume wangu haumtoshi! kwa lugha ya...
Wakuu tukumbushane kidogo haka kamchezo
Kiukweli me nilkua napenda sana kua baba alaf tunaiga vile tunavyoona wazazi wetu wanaish
Daaaah hii michezo imepotelea WAP jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.