Za mda huu wadau kwa ujumla wenu, kama kichwa cha habari kinavyosomeka,
Kisa chenyewe ni kuwa,Leo nimempigia mpz wangu na tulikuwa na maongezi ya kawaida sana maana kwa sasa afya yangu sio nzuri...
Hi everyone
Kama mwezi nikiwa kiwanja na marafiki,tukipiga maji ya dhahabu nikakutana na Mr mmoja.yuko Ok,ilitokea tukiwa dancing floor akaja kacheza nami.Anajua kucheza and I liked his company...
Ni pale uko kitandani na umpendaye kwa dhati halafu dude linashindwa kabisa kuamka. Hii imenitokea sana, nakumbuka nilikuwa na mawazo mengi.
Mwenye nyumba kodi:::::: nilikuwa na mkopo kwenye...
Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na...
Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo...
Habari wanabodi, leo nilikua nasoma uzi flani hivi ukanikumbusha miaka kadhaa nyuma.
Kipindi tupo chuo mwaka wa pili, room mate alikutana na mkaka mmoja hivi katika kuelezana unakaa wapi na...
Habarini wakuu,
Swali la utongozaji limekuwa mtihani mkubwa kwa wengi. Hii imekuwa sababu ya wengi kununua makahaba au wengine kuamua kuwa watumwa wa punyeto.
Madhara yake ni mengi kama vile...
Mwanamke ni kama Jua unaweza usione umuhimu wake, yaani kila siku unaenda mjini jua lipo tu, unaliangalia lakini huangalii umuhimu wake kwako.
Wakati mwingine likiwa kali unaanza kulalamika...
Aisee... nimepata mwanamke mmoja ambaye ni muda mrefu kiasi amekuwa akionesha mapenzi mi nikawa namlia timing kwanza.
Basi siku akaja akanikubalia nikafungua ukurasa wa mapenzi nikawa namgegeda...
A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can't have sex without...
Wajuzi naomba kueleweshwa ni muda mrefu kidogo nasikia watu wakisema maneno kama kaliwa tigo, anagawa tigo nakadhalika nakadhalika wakimaanisha kitendo cha mapenzi ya kinyume na maumbile na...
Utakuta mwanamke mnene amejazia minyama , toka hilo, hips ndo usiseme lkn kazaa KATOTO KEMBAMBA hata upepo ukivuma kwa kasi kanapeperusha mpaka Zanzibar.
je hii ni kwanini au huwa mnawabemenda...
Wengi wetu wameshakumbana na maumivu makali na wana madonda nafsini mwao pamoja na majeraha yaliyosabishwa na mapenzi. Haya yote hutokea baada ya wewe kutendwa. Umeshawahi kujiuliza kwanini...
Hey, hi tena,
Kupenda kunatokana na kukubali au kuridhia vile kitu/mtu alivyo na mara nyingi upendo huvutiwa na utu wa ndani sio mara nyingi na huu utu wa nje japo utu wa nje unaweza au usiweze...
Kama Kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo.
Binafsi uwa sinaga tabia ya kutongoza wasichana club uwa napenda tu kucheza nao na kufurahi nao baada ya apo kila mtu anachukua hamsini zake.
Ila kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.