Kama Wewe ni Mwanaume halafu una hivi viashiria jua 100% umerogwa Kimahaba


GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
28,517
Likes
33,701
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
28,517 33,701 280
Zipo sababu kedekede / nyingi ila hizi zifuatazo ndiyo sababu Kuu hasa baada ya kuzifanyia ' utafiti ' wa kina na wa muda mrefu wa kujua ni ' viashiria ' gani vikubwa vinavyoweza kukuambia kwamba Mwanaume fulani amerogwa ' Kimahaba ' na ama Mke au Mpenzi wake.

  1. Unapenda sana kuwasema / kuwananga Ndugu zako pale unapokuwa nae.
  2. Unapenda mno kumuomba msamaha hata kama kiuhalisia Kosa ni lake yeye.
  3. Ndugu zake unawapa uhuru wote kuja Kwako ila wa Kwako unawapa masharti ya kuja.
  4. Mkiwa sebuleni Kwenu yeye ndiyo huwa mwamuzi wa Channel ipi / gani muiangalie.
  5. Akikuomba Hela / Pesa kiasi fulani Wewe ukitoa / ukimpa utamzidishia kile Kiwango.
  6. Ndugu zako wakimkosoa / wakimsema Wewe hugeuka ' Mbogo ' Kwao na unawachukia.
  7. Hupendi / Unaogopa kukagua Simu yake ila yeye ya Kwako ' anaidukua ' atakavyo 24/7.
Hivyo kila Mwanaume aliyemo humu JF aziangalie hizo ' indicators / viashiria ' kisha tupeanae mrejesho hapa hapa kwamba ni nani zimemgusa 100% ili tuweze kumpa pole lakini pia kwa wale Wanaume ambao hawaingia katika huo ' mtego ' wa Kurogwa huko ' Kimahaba ' basi si vibaya pia nao wakasema hapa hapa ili tuweze Kupongezana.

Nawasilisha.
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
6,467
Likes
4,259
Points
280
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
6,467 4,259 280
Wengine sio kurogwa,wananogewa na mapenzi mpaka wanapitiliza,mke anasoma msg zako kwenye simu yako unamuangalia tu ,ila ukishika ya kwake anakuja juu na we unamuangalia tu,utafikiri kuwa yeye ndio mwenye right ya kukagua simu yako..
 
HB wa kigogo

HB wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
1,753
Likes
4,442
Points
280
HB wa kigogo

HB wa kigogo

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
1,753 4,442 280
Inaweza kuwa kweli au sio kweli. Sio wote wenye viashiria hivyo wamelogwa ni nguvu ya mapenzi. Mapenzi yanafanya watu mazuzu, malofa n.k jaribu tu kuangalia mtu ambaye ameamua kujiua kwa sababu ya mapenzi vitu kama hivyo ni rahisi kuvifanya.
 
nelly poul

nelly poul

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Messages
1,269
Likes
901
Points
280
nelly poul

nelly poul

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2015
1,269 901 280
GENTAMYCINE samahani naomba ubadilishe font, hii font yako kwangu kidogo hainivutii, nashindwa kusoma fresh
posti zako.
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,094
Likes
591
Points
280
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,094 591 280
Jmn mke wng kwenye swala la simu dah nikiboko sana mana nazuiwa ata kuingia jf kwa raha ila yeye kushinda snapchat na insta ndo bingwa nahisi kidogo umenigusa ntampa hii thread asome
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
28,517
Likes
33,701
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
28,517 33,701 280
GENTAMYCINE samahani naomba ubadilishe font, hii font yako kwangu kidogo hainivutii, nashindwa kusoma fresh
posti zako.
Katika Font style ninayoipenda ni hii na sijui kama itatokea siku nitakuja kuibadili. Sasa kama Font yangu inakutesa na huwezi kusoma imekuwaje umeweza kujua nilichokiandika na umekuja kutoa hilo ombi lako?
 

Forum statistics

Threads 1,213,518
Members 462,175
Posts 28,480,729