Inakuwaje Mke wa mtu Unajiremba ukienda Sokoni lakini ukiwa Roughly uwapo Nyumbani?

TzComedy

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
890
700
Ni tabia ya wanawake wengi waliopo kwenye ndoa kukomba kila haina ya kipodozi kupaka mwilini pindi aendapo sokoni, na ikibainika kuwa aina ya kipodozi fulani yeye hana na kipo kwa mpangaji wa jirani nae ladhima ahakikishe anakipata kwa ghalama yoyote ile.

Eidha yupo tayali hata kwenda nyumba jirani kuazima Dera kwa wale wanaopenda kujisitiri kidogo na kwa wale wanaopenda wakivaa miili yao ijichore kila kiuongo kilichopo mwilini humo Papuchi ikiwemo wapo tayali pia wakaazime nguo za aina hiyo.

Sasa yote 9, kumi wawapo kwenye kioo, laiti kioo kingekuwa kinaongea, ladhima kingetamka "Yapaswa ujue wewe ni mke wa mtu na unachokifanya kama ungekifanya kwa maandalizi ya kumsubiri mumeo akirudi kazini akukute uko hali hiyo, walahi asingewaza kuku cheat lkn kwa vile unawadha kwenda kuonekana na Mafisi uko uendako mumea kila siku atakuona we ni wakawaida tu".

Hajabu iliyoje, hawahawa wanapokuwa nyumbani wakiwasubiri waume zao wapokee eidha zawadi mbalimbali wanakuwa Roughly, wananuka kwapa, wananuka moshi, wananuka Domo, wanuka Papuchi na muda mungine wananuka hata tigo zao, shuwaini hawa. Wanawake mliopo kwenye ndoa badilikeni katika hilo, ndoa sio jambo dogo jamani.
 
asipopendeza tena kesi unaniabisha waache tu mkuu ili mradi ikulu pako salama.
 
Sio wote wengine unajipodoa mume anarudi saa nane za usiku anatoka baa utakaa umejipodoa mpaka yy harudi..sasa si bora ajipodoe aki3nda sokoni ajue moja
 
Makungwi sikuhz hakuna

Wazazi wanashindwa kuongea na mabinti zao

Kichen Party ckuhiz imekuwa ni kutunzwaa vyombo tu

Ndoa imekuwa kitu cha mazoea tu mwisho wa siku ndo hayo
 
Ukiona hivyo ujue anamtaka mangi au mpemba. ili awe anamhonga vitu vidogo vidogo, hlf pesa unayoacha mezani anatunza cku ukimzingua itamsaidia pa kuanzia
 
Sitaki kuamini mkuu unachokisema ila kiukweli mwanamke kama ni msafi basi atakuwa msafi akiwa nyumbani na hata akitoka nje bado atakuwa msafi vile vile akiwa mchafu itakuwa vivyo hivyo.

Na pia nikwambie kama mwanaume wa kutoka anatoka tu kwa sababu unaweza jipara masaa 24 ila ikiwa mwanaume anapenda mwenye chura na mke anakijichura unadhani nini kitazuia hapo mume asichepuke.
 
Back
Top Bottom