Ndoa ni kizungumkuti..Kutoa msaada hadi apate ruhusa kwa shemeji!


Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
751
Likes
910
Points
180
Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
751 910 180
Naomba kuwauliza mlioa jamani...

Hivi ukimuomba msaada kaka yako wa damu kabisa uwe ni wa pesa au hata kitu chochote ambacho kipo ndani ya uwezo wake lakini yeye badala ya kukupa wewe mdogo wake anakwambia kwamba unatakiwa ukamuulize mke wake kwanza yaani shemeji yako, akikubali ndio utapewa.

Unaamua kumwambia kaka yako aongee na mkewe basi kuhusu hilo ombi lako lakini anakwambia kaongee naye wewe mwenyewe. Hivi hii inamaanisha brother yako anakuwa hana sauti au ndio mambo ya ndoa yanavyokuwaga.

Nawasilisha....
 
U

urumrawi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,494
Likes
1,474
Points
280
U

urumrawi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
1,494 1,474 280
Upo too demanding anataka kukupiga stop
 
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,718
Likes
999
Points
280
Age
30
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,718 999 280
Kuongeze na utafute vyako
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
2,961
Likes
3,643
Points
280
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
2,961 3,643 280
nguvu ya limbwata hiyo, mwanaume hutakiwi kutolewa maamuzi na mkeo kwenye vitu vidogo kama hivyo
 
Mgodo visa

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
2,837
Likes
2,616
Points
280
Mgodo visa

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
2,837 2,616 280
Anajua wazi kuwa Mke wake (shemeji yako) ni kikwazo kwa Ndugu, hivyo ana imani kuwa utagonga Mwamba...
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,222
Likes
25,044
Points
280
Age
28
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,222 25,044 280
Mkuu kuta za nyumba zimeficha mengi sana

Kaka yako kukuambia hivyo ni tabia aliyo jitengenezea kipindi cha uchumba na ndo anayo endelea nayo bila kujua madhara yake
 
M

MImawhite

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Messages
275
Likes
388
Points
80
M

MImawhite

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2017
275 388 80
Kakunyima kiutu uzima ili na ww ujiongeze utafute za kwako.....
 
Y

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
1,210
Likes
1,017
Points
280
Y

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
1,210 1,017 280
Kwani akiongea na mke wake kuhusu ombi lako kuna shida gani kwako?
 
omarion5

omarion5

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Messages
4,410
Likes
15,243
Points
280
omarion5

omarion5

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2017
4,410 15,243 280
Ndoa ndoano mkuu,chunguza vizur wenda kaka yako kalishwa feace yake.
 
Meek Mill

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
614
Likes
427
Points
80
Meek Mill

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
614 427 80
Hapa Ngoja niangalie Tu.comments za Wadau
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
4,712
Likes
5,737
Points
280
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
4,712 5,737 280
Kama huyo shemeji yako ana mdogo wake mpigie cm halafu muulize kama anahitaji msaada nani anamfata? Sister wake au kaka yako
Nikijibu suali lako huyo kaka yako bwege au atakuwa hataki kukupa hio hela.Ndukiiiii
 
Amanikullaya

Amanikullaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
793
Likes
781
Points
180
Amanikullaya

Amanikullaya

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
793 781 180
Ndoa ni siri nyeti,kama mke wake ni chazo kizuri cha Mali zake kwanini asikuambie hvyo.
Kuna hela ndani ya familia ni za wote au zina bajeti yake na mtunzaji na wife kwanni asikiambie vile?
 

Forum statistics

Threads 1,215,110
Members 463,036
Posts 28,536,091