NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,388
Habari za Asubuhi waungwana,
Tulikua na harusi last two weeks, sasa hua tuna chukua wachoraji Henna wanakuja kutuchora nyumbani mara hii tulipata wachoraji kama wawili na hua tuna chukua kama wa 4 -5 sababau tunakua wengi, tumeshangaa kumuona mkaka ana chora watu Henna tena fundi na anafunguliwa mgongo anachora kiuno anachora, nikajiuliza ivi kweli ni sawa mkaka wa 30-32yrs unazungukwa na wadada huyu kafungulia mguu na its okay by him.
Wanaume naomba kujua ivi hii ni sawa?
Waosha kucha mie pia hua siwaelewi ila huyu mtia Henna ndio amenifanya nijuilize na nikamuliza why amechangua kazi hii ya kutia Henna anasema imetoka tuu na kapenda na pia hela yake ni nzuri haisubiri mwisho wa mwezi.