Tusigombane kisa meseji hiyo "Baby sijui "

Tusigombane kisa meseji hiyo "Baby sijui "

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,260
Mke: Sikucommand mme wangu ila nalinda pendo langu upo ndani ya himaya yangu ndiyo maana ninahofu na zao langu.

Mme: upo sahihi ila inabidi uchunguze kwanza, ukipata jibu ndiyo upanic sio poo tu unavimba

Mke: hayo sio maneno mme wangu ya kuyanena mbele yangu unazipelekea hisia zangu kuhisi naibiwa zao langu.

Mme: basi baby nakupa meseji usome naukisha soma usilalamikee.

Mke: usiniset mme wangu nataka kuipoza roho yangu suluhisho la moyo wangu mpigie uupoze mtima wangu.

Kwa majibu haya ya Mke/mpenzi nipo tayari kusema meseji ni ya nani na ndiyo utakuwa mwisho wa kuchepuka. Analainisha na anajishusha wakati wa kuuliza.

Ila uhalisia huwezi kukutana na wanamna hiyo, kina mama klareee atakuambia....

Mke: wewe mwanaume hiyo namba ya nani? Unajua unataka kunichetua wewe?
Mme: Mama namba ngeni hiyo siijui bibie my love

Mke: Juzi tu nilikukuta umempa lift Inna leo meseji, hivi mimi baba klaree sikupi nini? Kwa taarifa zako endelea kufanya unayofanya utanikumbuka nakuambia[emoji57][emoji57] my love! Unaniita my love kisa nimekukamata au?
Mme: basi mama yaishe,

Mke: mwanaume nyumbani hukai nyumbani ukatulia, kutwa mizunguko kama mwenyekiti wa kamati ya harusi.

Wapenzi wetu mkitukamata tuulizeni kwa unyenyekevu na kimahaba basi nasi roho zitatuuma tutawajibu kiupole na kuacha kabisa, wanachama wenzangu pitieni huu mswaada tuufanye sheria. Sharing is Caring.
 
Ni kweli....mamaa anapokuuliza kwa upole hata kama utakanusha lakin itakuacha na self judgement flan na unaweza hata ukaachana na huyo kimada....ila sasa akija kindakindaki inabidi tu mwanaume ajulikane ni nani af unakua hujutii lolote.
 
Baby wangu kanuna toka jana nilivyomtania..
 
Huu wimbo nilikua naupendaga san...daby labda sio sis wanawake wa kitz nikukamate na msg alafu nikuongeleshe kiunyenyekevu kwanza jazba yake tu utajuta na mlivo hampendi makelele
 
Mbona tunauliza hivyo?
Na muda mwingine kukaa kimya tu kama hujaona kitu.

love thé love or hâte thé love.....
 
Ni kweli....mamaa anapokuuliza kwa upole hata kama utakanusha lakin itakuacha na self judgement flan na unaweza hata ukaachana na huyo kimada....ila sasa akija kindakindaki inabidi tu mwanaume ajulikane ni nani af unakua hujutii lolote.
Mzee mimi nikiulizwa kwa upole nitajistukia ila hiyo ya hasira wala simsikilizi
 
Back
Top Bottom