alafu wewe!!!!!!maadamu mapenzi na ndoa viliwekwa na mungu basi uhalali upo.
yes it is possible,lakini kwa kuwa underground nadhani itaingilia utendaji kazi wenu hasa pale mtakapo takiwa kuwa kikazi zaidi huku kila mtu ana mdefine mtu kimya kimya!!hamtakuwa na uhuru kazini,mtaogopa vivuli vyenu!!!Unaweza kuwa na uhusiano na mtu alafu mkawa underground? Yaani workmates wasijue?
alafu wewe!!!!!!
Ufanisi unapungua vipi?Nadhani sio vizuri,kwani inapunguza ufanisi kazini, ila acha kabisa ukimpenda mtu ofisini, unajifanya humwoni,ila kama tu asipokuja ofisini unahisi hata kuumwa homa
Best utaitaje kuvuka mipaka wakati ni mapenzi, kumbuka kwamba mapenzi ni bahari hayana mwanzo wala mwisho hivyo kuvuka mipaka unakokusema ndio mapenzi yenyewe.Siipendi hiyo tabia sipendi kabisaaaa kuna mahali mtavuka tu mipaka uspokuwa makini