Kwa wanawake na wanaume waliowahi kudanganya na kudanganywa kua na mimba na wapenzi wao

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,020
Hellow,kwa kwa mwanamke ushawahi mdanganya mpenz wako kuwa una mimba yake na je baada ya kujua ukweli kuwa ni kiki ikawaje nawe mwanaume ulowahi danganywa baada ya kuujua ukweli ilikuaje?
 
me nilidanganywa anaomba laki na nusu ana shida nayo,enzi hizo nikasubiri bumu limetoka nikamtumia laki mbili ili kujikosha kuwa ninazo..lahaula siku tumetibuana akanichana live kuwa na mimba yangu aliitoa makusudi.anyway...me nilimshukuru tu kwa kutonishirikisha kwenye hiyo Dhambi na nimemchukia mpaka leo.
 
Tupo... me nilisingiziwa one week baada yakupiga tena na condom simsahau yule malaya halafu akakaa kimya baada ya week tatu nikasikia ameikabidhi ile mimba kwa mwenyewe muhisika mkuu ailee ,hawa watu hatari wakati tuna argue akaniambia kama ilipasuka condom je ?
Kwa lugha rahisi siku amekuja kwangu kuna guy asubuhi alimuosha
 
Duuuh ahahah umenifanya nikumbuke mbali aisee nshawahi danganya tena jamaa alikua mbali kidogo yan hatukua mkoa mmoja akawa anatuma pesa za matumiz kila ntachodai ananipatia asa siku zinasonga hadi kipindi namwambia pesa nikafanye shopping kwa jili ya baby katuma mara pesa ya ultrasound anatuma nikamwambia nna baby boy bas alichanganyikiwa mwenyew na siku ndo znaenda nami nawaza nimdanganye imechoropoka kha si akanifanyia suprise duuh kanikuta nipo bila kitumbo mtu kaja na bag la nguo za baby mmh niliishiwa poz nae hakusema kitu akasepa zake kilichofwata baada ya hapo acha tu niishie hapa
 
Nimemkumbuka Faraja wangu

Wewe dada pamoja ulinidanganya una mimba yangu ili unipime imani kama nitakuacha au laah,ila tambua nakufikiria mara kwa mara
 
Duuuh ahahah umenifanya nikumbuke mbali aisee nshawahi danganya tena jamaa alikua mbali kidogo yan hatukua mkoa mmoja akawa anatuma pesa za matumiz kila ntachodai ananipatia asa siku zinasonga hadi kipindi namwambia pesa nikafanye shopping kwa jili ya baby katuma mara pesa ya ultrasound anatuma nikamwambia nna baby boy bas alichanganyikiwa mwenyew na siku ndo znaenda nami nawaza nimdanganye imechoropoka kha si akanifanyia suprise duuh kanikuta nipo bila kitumbo mtu kaja na bag la nguo za baby mmh niliishiwa poz nae hakusema kitu akasepa zake kilichofwata baada ya hapo acha tu niishie hapa
Mkuu movie imeishia kati, tafadhali imalizie
 
Hellow,kwa kwa mwanamke ushawahi mdanganya mpenz wako kuwa una mimba yake na je baada ya kujua ukweli kuwa ni kiki ikawaje nawe mwanaume ulowahi danganywa baada ya kuujua ukweli ilikuaje?
Mimi alinidanganya halafu akajisahau akazidisha mwezi kumbe hajui kuwa niko vizuri kupiga hesabu, nlimwambia anipe majibu ya kipimo aka whatsapp sasa nilipompa tarehe na ticket ya basi kuwa ndio nlikuwa nimesafiri kwenda alipo akanywea nikamwambia ampelekee aliyempa ujauzito kabla ya mm sijawa na yeye ahh alichanganyikiwa akaanza kuwa mbishi mara akaanza kunitusi nikajua huyu mchaga alikuwa anataka hela ya matumizi ya kila mwezi ili ujauzito ukifikisha miezi 6 aje anambie anaumwa na imetoka huku mpangu ulikuwa nimpe na mtaji wa biashara kabisa ili alee mimba na atalea mtoto ahah hawa ni hatari sana inabidi uwe unakumbuka kila tarehe ukiwa naye ukisahau inakula kwako.
 
Daah baada ya hapo jamaa nikimtxt kmy call hapokei asa siku akanipigia simu niende kwake ana maongez muhimu na mimi nikajibeba hadi kwake kufika nikapokelewa vizur jamaa akanambia ngoja nikakunulie kinywaji duuh kurudi karudi na fimbo pamoja na mikanda nilichezea kichapo hatariii yan kichapo kitakatifu haswa hakika niliisoma namba na nilijuta niianzaje kumdanganya nilipofanikiwa kuchoropoka nikatoka ndukii tena peku ikabid nikod bodaboda hapo hata sent sina mana kila kitu meacha ikabid nipite kwa rafik yangu kufika huko ndo akamlpa wa bodabda nikajiweka sawa ndo kurud home kesho yake akamtuma mtu aniletee vitu vyangu yan siku tatu nilishinda nimelala naugulia mikanda na fimbo nilizopgwa,na nikawa mtu wa suruali na masweta tu mana mwili wote ulitawala alama za fimbo sinaga hamu na yule kijana daaah na mahusiano ndo yaliishia hvo mpaka leo nikimet nae nageuza njia.
 
Duuuh ahahah umenifanya nikumbuke mbali aisee nshawahi danganya tena jamaa alikua mbali kidogo yan hatukua mkoa mmoja akawa anatuma pesa za matumiz kila ntachodai ananipatia asa siku zinasonga hadi kipindi namwambia pesa nikafanye shopping kwa jili ya baby katuma mara pesa ya ultrasound anatuma nikamwambia nna baby boy bas alichanganyikiwa mwenyew na siku ndo znaenda nami nawaza nimdanganye imechoropoka kha si akanifanyia suprise duuh kanikuta nipo bila kitumbo mtu kaja na bag la nguo za baby mmh niliishiwa poz nae hakusema kitu akasepa zake kilichofwata baada ya hapo acha tu niishie hapa
Duuuh ahahah umenifanya nikumbuke mbali aisee nshawahi danganya tena jamaa alikua mbali kidogo yan hatukua mkoa mmoja akawa anatuma pesa za matumiz kila ntachodai ananipatia asa siku zinasonga hadi kipindi namwambia pesa nikafanye shopping kwa jili ya baby katuma mara pesa ya ultrasound anatuma nikamwambia nna baby boy bas alichanganyikiwa mwenyew na siku ndo znaenda nami nawaza nimdanganye imechoropoka kha si akanifanyia suprise duuh kanikuta nipo bila kitumbo mtu kaja na bag la nguo za baby mmh niliishiwa poz nae hakusema kitu akasepa zake kilichofwata baada ya hapo acha tu niishie hapa
hahahaaaaaa
 
Hahaaaa sometime hawa wanaume wana vinyorinyo Sana,hiyo dawa ili upoze machungu.
 
Back
Top Bottom