Huu ndiyo Upumbavu wa Wanawake wa Kileo; tuwachane..

b191

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
742
1,031
Amani na upendo viwe nasi sote.

Niende moja kwa moja kwenye Topic. Wanawake wa siku hizi ni wapumbavu sana. Haya ni moja kati ya upumbavu wao;

1. Wanang'ang'ania kuwekwa kwenye profile za wapenzi wao badala ya kujitahidi ili wawekwe akilini kwa wapenzi wao japo kwa 1%.

2. Wapo bize kuchat muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuangalia familia.

3. Wapo bize kuchunguza maisha ya majirani zao kuliko kupanga mambo ya Maisha ya familia yao.

4. Wanafanya kila mbinu ili wapate hela ya kujiunga na Bando kuliko kutafuta hela ya kuboresha vyakula na afya ya familia.

5. Wapo bize kuwaonyesha watu Mali walizonazo kuliko kwenda kumshukuru Mungu kwa kile alichowapatia.

6. Ukiwaambia ukweli wananuna na kuzira badala ya kukaa na waume zao na kuyajenga.

Ongezea ili tuendelee kuwachana....

NB:
1. Topic ni Wanawake wa Kileo
2. Tusambaze ujumbe huu kila mahali kwenye ma-group yetu, ili wale ambao hawapo humu wapate hii msg pia.
 
Amani na upendo viwe nasi sote.

Niende moja kwa moja kwenye Topic. Wanawake wa siku hizi ni wapumbavu sana. Haya ni moja kati ya upumbavu wao;

1. Wanang'ang'ania kuwekwa kwenye profile za wapenzi wao badala ya kujitahidi ili wawekwe akilini kwa wapenzi wao japo kwa 1%.

2. Wapo bize kuchat muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuangalia familia.

3. Wapo bize kuchunguza maisha ya majirani zao kuliko kupanga mambo ya Maisha ya familia yao.

4. Wanafanya kila mbinu ili wapate hela ya kujiunga na Bando kuliko kutafuta hela ya kuboresha vyakula na afya ya familia.

5. Wapo bize kuwaonyesha watu Mali walizonazo kuliko kwenda kumshukuru Mungu kwa kile alichowapatia.

Ongezea ili tuendelee kuwachana....
Mdogo wangu hawa wamama unaowazungumzia umewajumuisha na dada zako au unazungumzia dada wa wengine tu?
 
Back
Top Bottom