Sallam
Kuna baadhi ya kazi ni mitihani kweli kweli hasa kwa Afya zetu...
1. Bodaboda-hawa jamaa wana siri nyingi sana hasa za wachepukaji, na watu wenye deal nyingi za magumashi
2. Kuna hawa...
Erick alikuwa kijana anayesoma chuo kimoja nchini uingereza na alikuwa akiishi na mama yake ambaye alikuwa ameajiriwa kwenye mgahawa mmoja mjini london.
Erick alilelewa na mzazi mmoja ambaye ndo...
Uko kwenye ndoa mwaka wa tisa huu. Mke wako ulimuoa alipomaliza form four na kubahatika kupata watoto wawili. Kwa msisitizo wako mke amekwenda chuo na kumwacha mtoto mdogo akiwa na miaka miwili...
Jamani ehe leo yamenikuta mwenzenu nimekuwa na mahusiano na mwanamke toka mwezi wa 2 mpaka leo sasa leo cha ajabu nimetumiwa picha ya mpenzi wangu whatsapp na rafiki yangu ambaye yupo drs kanambia...
Habarini wadau wa jukwaa la love connect:
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo vifuatavyo;
1.Kabila-msukuma
2.Dini-mkirsto
3.Rangi-maji ya kunde/mweupe/white is fashion....
4.Umri-miaka 18-22...
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri...
Mwanamke wa Pakistani amekamatwa na polisi baada ya jaribio la kumuua mume wake kwa kumuwekea sumu kwenye maziwa kwenda mrama na kuuwa watu 13 kwenye familia
Polisi walisema mama mkwe wa...
Habari za leo waungwana,
Kuna baadhi ya wanawake hua tabia zao za ajabu sana,mfano unakuta yuko na mumewe au mwanamme wake,sio kawaida yake kumshika mwanamme wake mikono wala kiss wala hug mbele...
Kaka yangu ni mpenzi sana wa muziki wa hip hop. Mke wake ni mjamzito, Ijumaa walienda kufanya ultra sound na wameambiwa mtoto anayekuja ni wa kiume.
Sasa kumekuwa na ubishani wa hali ya juu mpaka...
Habari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu...
Muda wangu mwingi nimeishi Dar ila tangu nimalize Chuo mwaka jana nimekua sio mkazi wa kudumu; yaani huwa nachomoka kwa shughuli zangu za kikazi then narejea tena mjini, sasa nikirudi nakuta...
Mama mtu mzima wa miaka 45 au 50 unavaa skin jeans stori zako unakaa na wasichana wa miaka ishirini umebandika makucha kama jini makata wanja unachora wa fashion wa lulu vimini unavaa kutwa uko...
Maeneo Ya mijini Mida hiyo tajwa Mara nyingi ndo hutumika kwa michepuko katika kutekeleza zoezi la kugegedana.
Karibu kila mitaa ina vipori ambavyo vinatumika kwa appointment.
Mume Ukienda...
Nimekuwa kwenye mapenz na binti mmoja HV rika langu kabisa,mwanzoni tulipendana sana kipindi tuko mwaka wa kwanza chuoni tukikaa kwenye hostel za vyuo vyetu.Kwa hyo hata kugegedana ilkuwa...
The dead are harmless, fear the living Tundu Lissu yupo hai, japo kashatiwa pancha kibao... Lakini ni faraja kwa wengi kumuona bado akiwa na uhai tele... Faraja kwa familia, faraja kwa ndugu...
Watu wazima wa jinsia tofauti mkaenda mahali mkala mkanywa mkaogelea kwa siku tatu mkalala story za maisha nk ila kusiwepo na sex ! Inawezekana kweli au nikitulize tu nyumbani?
Nawaza tu...
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.
Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka...
Kumekuwa na wimbi zito linaloikumba sekta nyeti sana ya mahusiano upande wa mapenzi, zimeanzishwa nyuzi hapa jf kuhusu wanaume kutowafikisha akina dada kileleni na hii nikutokana na nguvu za kiume...