Tujifunze kupenda tunapopendwa

Tujifunze kupenda tunapopendwa

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,030
Hellow dears
Ni ushauri tu,tujifunze kupenda tunapopendwa because hakuna kitu kinachoumiza kama kuona mtu ambae alikuwa akionesha upendo kwako yupo na mwingine na wewe umebaki complicated ulikoenda umeangukia pua,kipindi hicho alionesha upendo kwako nawe ukampuuza,alikua tayari kwa lolote kwako hukumjali alijaribu kufanya chochote uridhike lakini ukampuuza,alikujali kwa kila kitu haikupita siku asijue hali yako hata akiwa busy kiasi gani alijitahidi kuhakikisha anajua umeamkaje,umeshindaje and u hali gani lakini hukumjali ukampuuza ukaenda kwingine ambako unapenda wewe then huko ulikoenda umeangukia pua upo dillema huelewi direction yaan upo complicated then kurudi its too late hakuna kitu kibaya katika maisha kama neno ningelijua..just advice tu.
 
Labda kwa nyinyi wadada mnaweza, ila sisi wanaume kujifunza kumpenda usiempenda vigumu saana ipp siku utapata ile roho inapenda ukaishia kumuumiza.

Btw ikisha tokea hivyo hupendwi, na unaempenda basi usifosi. Achana nae kubali aende.

Jipe muda utampata tuu mwingine.

Time heals.....
 
Umenena ukweli mtupu. Haya mambo yanauma sana bora uyasikie kuliko kukutana nayo.
Weng husema siwezi kukaa sehemu ambayo sipend hata km ananipenda lkn kuna wakati hapo panakuwa sehemu bora sana.
"Simu ya Iphone ni bora sana kuliko simu ya nokia ya tochi ila kuna wakati simu ya nokia ya tochi huwa ni bora zaid mara 2 kuliko iphone''
 
Labda nichangie kdgo,,japo naweza nisieleweke sana,upendo hapendwi hata siku moja,kaz yake ni kupenda tu bas,upendo hauna sababu kwa sababu hakuna sababu inayosababisha kupenda zaid ya kupenda kwenyewe. Tunachojisahau wengi wetu ni kwamba tunataka tupende nasi ndo tupende hapo lazima utakwama kwa sababu utakua unaupa upendo kupenda,na kingine tunajisahaulisha makusud kila siku tunasema hakuna binadam aliekamilika,sasa kama unajua hajakamilika kinachokukimbiza ni kipi? Kwa nn tunajisahauliaha kwa makusud kwamba upendo kaz yake ni kufunika madhaifu ya mwenzako ambayo amepugukiwa nayo?tunajitakia matatizo sisi wenyewe baadae tunamlaumu shetan.

NB:heri kuachwa kuliko kuacha
Heri kupenda kuliko kupendwa.
 
Yani kupenda usipopendwa ni balaaa
Sisi wanaume tunapopenda huwa tuna maanisha 100% na huwa hatuigizi km jinsia nyingine.
Mwanaume akikupenda kwa kumaanisha hebu tulia sbb wengi wetu huwa ni km nyoka. Tuna gonga na kukimbia
Km ukimkataa mwanaume anayekupenda kwa dhati unaweza kujikuta unaangukia pua.
 
Labda nichangie kdgo,,japo naweza nisieleweke sana,upendo hapendwi hata siku moja,kaz yake ni kupenda tu bas,upendo hauna sababu kwa sababu hakuna sababu inayosababisha kupenda zaid ya kupenda kwenyewe. Tunachojisahau wengi wetu ni kwamba tunataka tupende nasi ndo tupende hapo lazima utakwama kwa sababu utakua unaupa upendo kupenda,na kingine tunajisahaulisha makusud kila siku tunasema hakuna binadam aliekamilika,sasa kama unajua hajakamilika kinachokukimbiza ni kipi? Kwa nn tunajisahauliaha kwa makusud kwamba upendo kaz yake ni kufunika madhaifu ya mwenzako ambayo amepugukiwa nayo?tunajitakia matatizo sisi wenyewe baadae tunamlaumu shetan.

NB:heri kuachwa kuliko kuacha
Heri kupenda kuliko kupendwa.
fafanua
 
Labda kwa nyinyi wadada mnaweza, ila sisi wanaume kujifunza kumpenda usiempenda vigumu saana ipp siku utapata ile roho inapenda ukaishia kumuumiza.

Btw ikisha tokea hivyo hupendwi, na unaempenda basi usifosi. Achana nae kubali aende.

Jipe muda utampata tuu mwingine.

Time heals.....
Hata nyie mnaweza kujifunza kupenda. Hata wanawake huwa inatokea ukashindwa kujifunza pia na ikatokea mnayependana ukaishia kumuumiza wa kwanza. Hivyo hii kujifunza au kushindwa kujifunza inawezekana kwa pande zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom