Aaaeee karangi kake Elizabeth Michael,yaan we mrembo walahi nachukua jiko,ninahisi kulia nacheka kingereza asee

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,592
Asaaeee angalia shape ya wema sepetu angalia jicho hamisa mobeto ,karangi kake Elizabeth Michael yaan we mrembo nachukua jiko

Nimeumia haka kalembo kufungwa
Ngoja tu niangalie haka kamziki,

Ni funzo mapenzi huleta.majeraha ya kisaikolojia na kifo

Kwenye kiitikio kapewa shavu Ile rangi yake itafubaa uko kwa bwana jela

 
Back
Top Bottom