Gods very own
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 124
- 66
Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.