Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,566
- 139,937
Labda watoto wa Tanga wamelewa sifa.
Labda sample size yangu ilikuwa finyu sana. Lakini kwa mwaka mmoja nilioishi Tanga sijaona exception yeyote ambayo imekuwa ikikuzwa kwamba Tanga katika sekta ya mapenzi ni balaa. It is overrated. Inatiwa chumvi sana.
Pamoja na kuwa niliwahi kukalishwa kwenye kigoda na kukuchuchumalia kisosi pale Chumbageni,lakini hata mikoa mingine wana maujanja yao
Kinachokera zaidi watoto wa Kidigo wana-fake sana,wanazidisha sana viungo.
Kwa maoni yangu nadhani Uchagani ndio kuna hatari zaidi. Hii inatokana na knowledge based on simple research undertaken for two years and experience of one year.
Basi kama mapenzi yalizaliwa Tanga yalienda kuweka makazi Uchagani