greater G
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 308
- 218
Rejea mada tajwa hapo juu.
Leo nimeona nizungumze UKWELI kuwa tangu nianze kujihusisha na mapenzi bado sijawahi kutongozwa na mwanamke. ( kutamkiwa na mwanamke kuwa anataka nikamnanihii)
Najua Tupo wanaume wengi hilo hatujabahatika kulipata, japo najua wanawake wengi huonyesha dalili za kukutaka ukamgegede,huyo si mlengwa ninayemzungumzia.