Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama Heading inavyosema....Natafuta Mwanamke wa Kumuoa! Sifa zangu dini: Mkristo Mkoa:Arusha Elimu: Darasa la Tano (Nilikataa shule) Rangi: Sio mweupe sana Umri :22 Sifa za Nimtakaye! Dini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa pendwa la MMU. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, napenda kusikia maoni yenu kutoka mitazamo tofauti tofauti ya kidini/imani na kidunia. Swali hili limekuja...
2 Reactions
54 Replies
15K Views
Leo narudi kibaruani ile nafika nikaingia ndani, mke wangu kanikaribisha kanipokea maliboro. Baada ya dakika kumi nasikia paaaa mara tena paaaa! Ikabidi nitoke nje namuona mpangaji mwenzangu...
9 Reactions
43 Replies
8K Views
Kuna msichana niliingia nae kwenye mahusiano kama miezi sita iliyopita na najitahidi kumtatulia shida zake kadri ya uwezo wangu.Yeye hana chakunipa zaidi ya papuchi tu sababu hana ajira na hata...
2 Reactions
78 Replies
10K Views
Wadau naomba ushauri, Mke wangu anawivu unazidi anafika sehemu mpaka anaingia mtandaoni kama Fb na instagram anaangalia wanao like na kucoment kama ni wasichana anawatukana. Kwenye simu...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kumezuka tabia na mtindo mbaya kutoka kwa singo maza ambao ndoa zishangawashinda na wapo tu nyumban hawana hile...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
ukweli ni kwamba kuna watu wengi ambao hawana shukrani ya hisia halisi za mtu anapoamua kukupenda. Ninajisikia vibaya Kwa wale walio katika hali kama hiyo, Usipoteze tumaini lako, uwe mwanamke au...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Rejea mada tajwa Hapo juu. Samahani kwa wale nitakaowakwaza kwa maamuzi Haya.nimechukua maamuzi Haya bila kushawishiwa na mtu yeyote.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaam wakuu JF, Kuna changamoto kidogo imejitokeza kwenye familia, sijui niseme ni bahati au nini ya kukutana na wanawake wanaopenda sana kugegedwa hadi wananikondesha, mke wangu mwanzo hakua...
20 Reactions
282 Replies
32K Views
Matofali 10 ya ndoa bora! 1.Lazima ujue kwamba wewe ni mke na ni wajibu wako kushuka na kumtii mumeo “enyi wake watiini waume zenu kama kutaniko linavyomti Mungu 2.Lazima ujue kwamba mumeo ni...
5 Reactions
30 Replies
11K Views
Wanawake na wadada nawashauri msikubali kupigwa picha na wapenzi au waume zenu wakati wa tendo la ndoa. Anataka picha au video ya nini na wakati mpo nae ikatokea bahati mbaya uhusiano ukavunjika...
4 Reactions
84 Replies
12K Views
Dr. Louis Shika mzee wa 900 itapendeza ndo mtu pekee amejizolea umaarufu hapa inchi toka wiki ilopita. Ameweza kuzima story zote za mjini matharan inshu ya hukumu ya Lulu na kifo cha Ndikumana...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mliooa wanawake Bikra au mnaofikiria kuoa wanawake Bikra! Hivi mnadhani hakuna siku watatamani kujaribu Kwa wanaume wengine! Ingekuwa wewe ungeweza kubaki hivyo maisha yote, bila kuonja...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Mwangele, mwabheja sana, mwangaluka, mwalindauli, damlauri? Niingie moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa mchangiaji was muda mrefu kwenye mada mbalimbali liakini leo kilichonisukuma kuandika ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Heloo, Kidogo nimeona nije na masomo kadogo Leo baada ya wiki tamu hii ya 900 itapendeza, Jamani wakaka/ wababa sio eti ukiwa na six pack au pesa au muonekano mzuri sijui urefu ndo wanawake...
13 Reactions
130 Replies
9K Views
Habarini, wanaJamii, Mimi ni msichana umri 28_30, ni mkristo, nina elimu ya Chuo kikuu, nina tafuta mume mkristo mwenye hali kam yangu, awe na miaka kati ya 30_40. MWENYE SIFA ZIFUATAZO: Awe ana...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Unapokosana na mtu ni rahisi sana kibinadamu kuendelea kulaumu, kulalamika na kumnyoshea kidole kwa yale mabaya aliyokufanyia, zaidi sana huwa mabaya yanapoingia mahali huwa yana tabia ya kuwahi...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
UKWELI Mchungu..Ukishamuoa Mpe Amri, Akibisha Piga... Mbinu Hii Ilidumisha Ndoa za Mababu Zetu...!!! Wasaalam wakuu Kumekuwa na mijadala isiyokwisha kwamba: kwanini ndoa za sasa hazidumu? Jibu...
15 Reactions
71 Replies
5K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Huu ni kama ujumbe wa kukumbushana tu. Kwa mwanamke kama huwezi kufanikiwa ukiwa kwenye umri wa miaka ya 20 basi tegemea bahati nasibu au wanaita kudra za muumba...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…