Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,409
Heloo,
Kidogo nimeona nije na masomo kadogo Leo baada ya wiki tamu hii ya 900 itapendeza,
Jamani wakaka/ wababa sio eti ukiwa na six pack au pesa au muonekano mzuri sijui urefu ndo wanawake wachumba utapata nope.
Sometimes you need to be gentleman/ romantic and charming. Nimeona humu baadhi wanalalama wana kila kitu but hawapati wapenzi.
Siri ndo hiyo. Tumia lugha tamu na lakini. Siku zingine nunua hata fresh flowers mpelekee, vinguo vizuri zuri vya ndani visandozi n.k.
Simple na visurprise surprise fanya maisha yenu ya kimapenzi mepesi laini.
Kukalipiaa Ubabe nooo.
Mwanamke anahitaji kubembelezwa, vikosa vidogodogo puuzieni jamani kuna wanaume wana gubu hapana. Utakimbiwa.
OK.Good Night.