Nimefuta namba zake zote


M

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
529
Likes
217
Points
60
M

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
529 217 60
Kuna msichana niliingia nae kwenye mahusiano kama miezi sita iliyopita na najitahidi kumtatulia shida zake kadri ya uwezo wangu.Yeye hana chakunipa zaidi ya papuchi tu sababu hana ajira na hata kama angekua nayo binafsi huwa sipendi kumuomba mtoto wa kike pesa hata kama nina shida na najua ana mshahara.

Kwa siku chache za hivi karibuni amekua na tabia ya kukaa kimya kama hayupo, kusalimia asubuhi mpaka nianze mimi na nisipofanya hivyo na yeye anakaa kimyaaaa Ila nikitaka kumuacha ni mwepesi sana wa kujitetea na kuomba msamaha.

Leo nimeamua kufuta namba zake zooooote za simu ili nisishawishike kumtafuta sababu kwa upande wangu sina tabia ya kukariri namba za simu za mpenzi wangu, zikiwepo tu kwenye phone book inatosha sana.Nimeamua kufanya hivi ili nimuache mazima.

Je nitakua nimefanya kosa kufuta namba zake ?
 
Cousin

Cousin

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
12,207
Likes
35,441
Points
280
Cousin

Cousin

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
12,207 35,441 280
Afadhali umegundua mapema mkuu... ukiona mwanamke anafanya hivyo ni ishara tosha kwamba yuko kwako kimaslahi zaidi ndiyo maana ukionyesha dalili za kumpiga chini anakubembeleza sababu anajua kabisa atapoteza kitu
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,656
Likes
6,111
Points
280
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,656 6,111 280
Umefuta namba zote lakin kichwani umezishika
 
Betterhalf

Betterhalf

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
2,784
Likes
2,409
Points
280
Betterhalf

Betterhalf

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
2,784 2,409 280
Umefanya maamuzi,sasa ushauri huo wa nini unaouomba?
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,656
Likes
6,111
Points
280
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,656 6,111 280
Mkuu rejea content ya uzi hapo juu.Sina kawaida ya kukariri namba ya msichana.
Lakini km sio jamii ya wale wanawake kupe unaweza kushinda hii vita.lakini km anapenda kuganda atakutia majaribu sana!itakusaidia km mko mbalimbali na access ya kukupata we ni ngumu.otherwise atasumbua hadi siku akute uko na dem mwingine ndo ataamua kukaa mbali na ww
 
conor

conor

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Messages
236
Likes
293
Points
80
conor

conor

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2017
236 293 80
Unaa akili kipande ww..ndio sabab kakuona punda
 
Ja60

Ja60

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Messages
257
Likes
130
Points
60
Ja60

Ja60

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2012
257 130 60
Ngoja na mimi nifute kumbe ndo dawa ya watu wenye tabia ya huyo dada.
 
Meek Mill

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
617
Likes
428
Points
80
Meek Mill

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
617 428 80
Usije ukabaki Una Imba Nyimbo ya Mavoko...
Mwezako sura yanguuu...Mwezako Sura yanguu
Kwa haraka Haraka,Mpaka Unakuja Kupost Umu..Uwezi Muacha Uyo..Me Nakushauli kamwombe Tena Namba zake za simu
 
luginyo

luginyo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,263
Likes
471
Points
180
Age
28
luginyo

luginyo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,263 471 180
Naomba niulize? Kabila gani huyo
 

Forum statistics

Threads 1,237,564
Members 475,562
Posts 29,293,799