Mliooa au mnaofikiria kuoa wanawake Bikra!

Mliooa au mnaofikiria kuoa wanawake Bikra!

Mjema Vushanje

Senior Member
Joined
Sep 24, 2017
Posts
158
Reaction score
355
Kwa mliooa wanawake Bikra au mnaofikiria kuoa wanawake Bikra!

Hivi mnadhani hakuna siku watatamani kujaribu Kwa wanaume wengine!

Ingekuwa wewe ungeweza kubaki hivyo maisha yote, bila kuonja kwengine?

Ni swali Tu!
 
Back
Top Bottom