Single mothers acheni udhalilishaji kwa wake za watu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,094
Reaction score
45,328
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kumezuka tabia na mtindo mbaya kutoka kwa singo maza ambao ndoa zishangawashinda na wapo tu nyumban hawana hile wala lile baada ya kuzalishwa na kuachwa

Watu hawa kwa sasa wameanza uzalilishaji kwa wake za watu ili wanawake ambao wako kwenye ndoa zao wametulia waonekane kuwa ni wabaya na si kitu chochote

Singo maza wanadai wake za watu ni wagawaji sana na hawajui majukumu yao kitu ambacho si cha kweli

Singo maza pambanen tu na hali zenu

Waachen wake zetu waponde raha maana sisi tulio waoa ndo tunajua majukumu yao na ndo tumewachagua

Achen kuchafua wake za watu singo maza

LONDON BABY
 
Soma ulichoandika mama angu
Unajitafutia ban tu bure mkuu

Umeandika maneno yako kwa edit za kishushi na mods wamekutazama tu

Mods kwanini mtu ana andika maneno yake then ana edit ili kumuchafua member wa jukwaa na hamuchukulii hatua yeyoye ile
 
Single mother mkuje huku
 
Unajitafutia ban tu bure mkuu

Umeandika maneno yako kwa edit za kishushi na mods wamekutazama tu

Mods kwanini mtu ana andika maneno yake then ana edit ili kumuchafua member wa jukwaa na hamuchukulii hatua yeyoye ile
[emoji23] pole sana kichwa panzi usiforce bifu na big fish kama mimi utaumia dogo
 
Nakupa onyo leo ndo iwe mara yako ya mwisho kuingia kwenye anga zangu usije ukanilaumu mkuu huko mbelen

Kama una masikio naomba usikie

Hilo ndo onyo langu la kwanza na la mwisho
 
Back
Top Bottom