Tumaini jipya

Tumaini jipya

uwepo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
600
Reaction score
743
ukweli ni kwamba kuna watu wengi ambao hawana shukrani ya hisia halisi za mtu anapoamua kukupenda. Ninajisikia vibaya Kwa wale walio katika hali kama hiyo, Usipoteze tumaini lako, uwe mwanamke au mwanaume upendo wa kweli upo anaweza kupoteza muda kwa kulazimisha moyo ukaishia kujuta tu jipe amani ya moyo kuna mtu mwenye upendo zaidi na mzuri anayekungojea tu.
Usiogope kuanza upya japo inauma ila utapona kidogo kidogo kumbuka kama ulimpenda mtu kiukweli upendo wa mtu hauendi bure ndo maana ukiangalia kama ulimpenda mtu sana akakusaliti mwisho wake huwa si mzuri

Niwatie moyo wale wote mliokuwa mmekata tamaa kuhusu mapenzi ya kweli kwa hisia zenu kuchezewa kwa wasio wathamini amini kuna mda mzuri unakuja
 
Mapenz ya kweli yapo tena yapoo haswaaa
Ikitokea mtu amekuacha shukuru Mungu maana nafac ya kuwa na mtu mwenye upendo nawe ndo inakaribia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom