Nina Changamoto kubwa sana wadau inanisumbua... ushauri wenu muhimu


natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
6,960
Likes
9,147
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
6,960 9,147 280
Njaa zinawasumbua hao.

Binafsi nakushauri kama unaweza kata mawasiliano na hapo ulipo ondoka nenda kusikojulikana.

Kama walikua serious kukushitaki basi wasingeingia agreement ya kuomba pesa.

Wanaendelea kukugeuza mradi wao wa kujipatia pesa.
 
yahoocom

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
306
Likes
285
Points
80
yahoocom

yahoocom

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
306 285 80
Daah watu mnahangaika... pole sana ndg kwa hiyo vyote hivyo umevitoa usawa huu wa Jpm au labda upo vzr siwezi zungumzia mfuko wako lkn km ingekua mimi kwa utitiri huo ningewaachia mwanao. Hongera sana.
 
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
4,065
Likes
9,588
Points
280
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
4,065 9,588 280
Aisee hiyo familia imekufanya SACCOS, familia nyingine sio za kuoa/kuolewa..

Ila wewe ndio mwenye makosa, ulitakiwa ufuate utaratibu mliokubaliana!!
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
15,923
Likes
18,470
Points
280
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
15,923 18,470 280
hao wakwe ni wachaga au sio ??
umewapa ng'ombe watumie kumkamua maziwa ila wewe wamekugeuza ng'ombe wa kukamuliwa pesa
teh teh
 
M

mrmufindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
646
Likes
418
Points
80
M

mrmufindi

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
646 418 80
We angalia makubaliano na maelewano na mzazi mwenzio
 
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
11,215
Likes
22,469
Points
280
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
11,215 22,469 280
Haha ha ha Laki 8 ya kubisha hodi sasa nmemuelewa Mkulu na zile bilion 700 za Good faith
 
aymatu

aymatu

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Messages
1,840
Likes
2,187
Points
280
aymatu

aymatu

JF-Expert Member
Joined May 23, 2014
1,840 2,187 280
Huyo binti ni mchaga eeh?
 
yajutu

yajutu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
853
Likes
952
Points
180
Age
28
yajutu

yajutu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
853 952 180
Wamekugeuza mfuko wa mazoezi cha kufanya weka msimamo kama mlikubaliana kila kitu ukatoa na wakalizia,huo ni mkwara tu hawezi kukushitaki
 
samua

samua

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Messages
952
Likes
550
Points
180
Age
33
samua

samua

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2016
952 550 180
Pole lkn angalia na moyo wako kama unampenda bibie stahamili
 
fizo talent

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
806
Likes
917
Points
180
fizo talent

fizo talent

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
806 917 180
Ulifanya kosa kwa kua makubaliano yalikua utume kupitia bank hapo inaonesha mama alikua anawapiga bao cha kufanya ongea na mama mkwe ndio anajua kwa nini wanasumbua
 
P

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Messages
1,127
Likes
1,165
Points
280
P

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2011
1,127 1,165 280
Mkuu kama unaona hao watu wanakuonea kwa kitendo cha kumharibia binti yao maisha basi ni bora wakupeleka jela tu ukanyee debe miaka 30
 
naliwe

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
298
Likes
277
Points
80
naliwe

naliwe

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
298 277 80
Wanafunzi wa nini mkuu acha upigike umeyataka mwenyewe
 
N

nzoka boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Messages
510
Likes
404
Points
80
N

nzoka boy

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2017
510 404 80
we bwana inaonekana unawashwa hela!!, ungekuwa na hali ngumu yote hayo usingeyafanya, cha msingi baba sepaaa huyo mwanao tuuu atakuja nenda katafute maisha acha kujizeesha
 
naliwe

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
298
Likes
277
Points
80
naliwe

naliwe

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
298 277 80
Motoa mada ni mpumbavu next time mambo ya kukuweka hoja kama izo
 
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
422
Likes
118
Points
60
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
422 118 60
Njaa zinawasumbua hao.

Binafsi nakushauri kama unaweza kata mawasiliano na hapo ulipo ondoka nenda kusikojulikana.

Kama walikua serious kukushitaki basi wasingeingia agreement ya kuomba pesa.

Wanaendelea kukugeuza mradi wao wa kujipatia pesa.
Yaani najuta sana asee... Maana hata huyo mtoto wao hakuwa kwenye plan zangu kabisa asee... na nafanya hivi kwa kuwa nimemuachisha shule, shule yenyewe alikuwa karudia
 
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
422
Likes
118
Points
60
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
422 118 60
Daah watu mnahangaika... pole sana ndg kwa hiyo vyote hivyo umevitoa usawa huu wa Jpm au labda upo vzr siwezi zungumzia mfuko wako lkn km ingekua mimi kwa utitiri huo ningewaachia mwanao. Hongera sana.
Bro ukishakuwa kwenye hayo matatizo ndio utajua hela utaitoa wapi especially familia ikiwa katili. Unajichanga tu miaka 30 ni ya kusikia tu
 
K

katichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Messages
1,868
Likes
970
Points
280
Age
41
K

katichi

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2016
1,868 970 280
Kazana tu mkuu usije ishia lupango
 

Forum statistics

Threads 1,214,845
Members 462,900
Posts 28,525,915