Dr. Louis Shika Afunga Mwaka Kwa Umaarufu wa hali ya Juu a k a Kiki

So far away

Member
Jan 7, 2017
58
121
Dr. Louis Shika mzee wa 900 itapendeza ndo mtu pekee amejizolea umaarufu hapa inchi toka wiki ilopita. Ameweza kuzima story zote za mjini matharan inshu ya hukumu ya Lulu na kifo cha Ndikumana. Sasa ivi kila kitu ni 900 itpendeza!
 
Back
Top Bottom