Umbali ni kigezo cha kukosa mke/mume?

Umbali ni kigezo cha kukosa mke/mume?

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
879
Mwangele, mwabheja sana, mwangaluka, mwalindauli, damlauri?

Niingie moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa mchangiaji was muda mrefu kwenye mada mbalimbali liakini leo kilichonisukuma kuandika ni kisa kifuatacho.

Kuna tangazo lilipita pale love connect, ila siwambii tangazo lilihusu nini najua mnayajua matangazo ya pale.

Basi Mimi nilikuwa mmojawapo kumfuata PM yule mtangaza nia (sitamtaja), kilichoendelea ni mazungumzo ya mwanzo kabla kuingia kwenye mkataba wenyewe.

Sasa nikaulizwa "unaishi wapi"? Nikamwambia naishi ----- mkoa mmojawapo nyanda za juu kusini. Alichonijibu ni HUKO NI MBALI HAITAWEZEKANA.

Swali: je mapenzi, uchumba, na ndoa, Umbali ni kigezo cha kuzingatia kwa mtu aliye-serious kuingia katika ndoa? Kauli ya "ulimwengu ni kijiji haiishi tena"?

Mnaohitaji wachumba angalieni hili kwa umakini labda wale wa hit and run maana ni mahusiano ya kukutana mnapepetana na kusepa. Mhusika ukipita hapa kuwa kama unataka mume serious be serious first.
 
Waliowengi hawapendi ndoa ikiiwa mpya muishi mbali mbali hivyo!
Yaani mnagegedana kwenye honeymoon baada ya hapo miezi mitatu mbele?[emoji23] [emoji23]
 
Nimeona hilo kumbe kinadada wanawataka majirani zao, sasa wanakujaje hapa jf si wawatongoze wanaowaona mtaani kwao?
 
Mwangele, mwabheja sana, mwangaluka, mwalindauli, damlauri?

Niingie moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa mchangiaji was muda mrefu kwenye mada mbalimbali liakini leo kilichonisukuma kuandika ni kisa kifuatacho.

Kuna tangazo lilipita pale love connect, ila siwambii tangazo lilihusu nini najua mnayajua matangazo ya pale.

Basi Mimi nilikuwa mmojawapo kumfuata PM yule mtangaza nia (sitamtaja), kilichoendelea ni mazungumzo ya mwanzo kabla kuingia kwenye mkataba wenyewe.

Sasa nikaulizwa "unaishi wapi"? Nikamwambia naishi ----- mkoa mmojawapo nyanda za juu kusini. Alichonijibu ni HUKO NI MBALI HAITAWEZEKANA.

Swali: je mapenzi, uchumba, na ndoa, Umbali ni kigezo cha kuzingatia kwa mtu aliye-serious kuingia katika ndoa? Kauli ya "ulimwengu ni kijiji haiishi tena"?

Mnaohitaji wachumba angalieni hili kwa umakini labda wale wa hit and run maana ni mahusiano ya kukutana mnapepetana na kusepa. Mhusika ukipita hapa kuwa kama unataka mume serious be serious first.

Mkuu kunakitu wanakiita kudanga ndio anachokifanya uyo mpuuzi temana nae usikute at a in dume
 
Back
Top Bottom