Je unaweza kuhonga urais kisa papuchi?(Mugabe style)

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,465
20,211
Je unaweza kuhonga nchi/urais kwa mtoto mzuri kisa papuchi kama Mugabe alivyotaka kufanya.?
Is it worth it?
Vp unaweza kuhonga kisa mkia? Au unaweza kuhonga kisa mauno?
Wengine hata mtoto awe mkali kiasi gani huwa tunajifikiria mara mbili kutoa hata nauli ya bajaj?
 
Mugabe accepted [HASHTAG]#ForThePoosayChallenge[/HASHTAG], and kilt it like a true V.I.P. At his age and status, I'd probably have done the same.
 
Watu wanahonga hadi pantoni.... iyo kawaida tu, Mbona JK alikuwa anahonga wilaya??
Ila mzee wa msoga kwa kusikilizia alikuwa hatari, ukipata story zake anapotembelea vyuo, nje, ofisi akiona vya kung'aa wanadai mpaka mate yanamtoka! Wakiona vile tu wanajuwa kuna Wilaya, Mkoa au cheo fulani mrembo atapewa tu! Au kuunganishwa kwenye trip zake nje! Hatari kabisa pale kati, hakujamuacha mwanaume salama..
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom