Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Habari.!?.
Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu.
Niende katika mada.
Kwa sasa ni muda sasa sina mwenza na sihitaji ili nipate fursa ya kufanya mambo yangu ya kimaisha vizuri na kwa weledi bila ya bughdha ya aina yoyote hususan za kimapenzi.
Nimejiwekea ratiba kila weekend nafanya mazoez ya nguvu ili kukimbia mihemko na vishawishi vya ngono.
Lakini cha ajabu kila nikifanya mazoezi kesho yake mwili unakuwa na moto wa ajabu(GENYE)..!!!.
Sasa nashindwa kuelewa maana tunaambiwa ukifanya mazoezi unakuwa unaepuka mihemko lakini kwangu imekuwa tofauti.
Hebu tujuzane wana jamvi.....