Mume anahitajika

awe mkristo awe na kazi alali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu awe mwelewa ugomvi sipendi awe na umri kati ya miaka 32-38
mi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
waume za watu sitaki, na ukinijalibu sitakujibu
Hata kapicha cha kutuhamasisha,
Kwangu dini kikwazo
 
mi
awe mkristo awe na kazi alali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu awe mwelewa ugomvi sipendi awe na umri kati ya miaka 32-38
mi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
waume za watu sitaki, na ukinijalibu sitakujibu
mi nina 22
 
umri wako? wewe una hizo sifa au umezitaja tu ilihali wewe huna?
 
Daah! Kama wachagua viwalo vya mtumba vile! Ila hao 32_38 waume za watu dada,sijackia km ww una kazi halali pia
 
awe mkristo awe na kazi alali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu awe mwelewa ugomvi sipendi awe na umri kati ya miaka 32-38
mi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
waume za watu sitaki, na ukinijalibu sitakujibu
Nina 24 njoo pm
 
1. Umri wako
2. Wasifu wako
3. Dini yako
4. Elimu yako
5. Kazi yako
6. Mileage yako ( umewahi kutembea na wanaume wangapi)
7. Sababu zilizopelekea usiolewe na mmoja kati ya uliotembea nao
8. Mahali ulipo
9. Una mtoto/watoto; kama ndiyo baba yuko wapi?

Ukiyajibu hayo maswali utapunguza kadhia ya kuulizwa ulizwa maswali mengi.

NB: ID ya zamani uwe tayari kuitaja kwa atayekuja PM
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu

Hebu njoo pm tuyajenge bibie
 
endelea kufanya mazoezi ukioa umri uo ukifika miaka 30 ulisha kuwa na wake 2 au zaidi au una watoto mama zao awajulikan wako wapi?
1. Umri wako
2. Wasifu wako
3. Dini yako
4. Elimu yako
5. Kazi yako
6. Mileage yako ( umewahi kutembea na wanaume wangapi)
7. Sababu zilizopelekea usiolewe na mmoja kati ya uliotembea nao
8. Mahali ulipo
9. Una mtoto/watoto; kama ndiyo baba yuko wapi?

Ukiyajibu hayo maswali utapunguza kadhia ya kuulizwa ulizwa maswali mengi.

NB: ID ya zamani uwe tayari kuitaja kwa atayekuja PM
we anza kutaja uliolala nao kwanza kisha mi ntakutajia adi majina yao kama unataka ila usiwaloge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom