Wanaume wa Zanzibar

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
Kuna wanaume wa Dar na wale wa Mikoani.
Je hawa wa Zenji wanaangukia kundi gani?Je wao ni wa Dar au mikoani?
Wanaume wa Zanzibar ni mahiri kwa kula urojo, ila wanaoa wake wengi sana na wanazaa watoto wengi sana, sifa ambayo wa Dar na wale wa mikoani hamnayo.
 
;)
 
Hawa wanaitwa wa visiwani...
Maana hawaingii kwenye kundi la wa dar...Wala wa mikoani...
Rejea sifa za wanaume wa dar...na pia rejea sifa za wanaume wa mikoani.
 
Kuna wanaume wa Dar na wale wa Mikoani.
Je hawa wa Zenji wanaangukia kundi gani?Je wao ni wa Dar au mikoani?
Wanaume wa Zanzibar ni mahiri kwa kula urojo, ila wanaoa wake wengi sana na wanazaa watoto wengi sana, sifa ambayo wa Dar na wale wa mikoani hamnayo.
WANAITWA MDEBWEDO!
 
" sisi wazanzibari wao watanganyika " wamejitenga wenye na watanganyika wameduwaa ndiyo hii sababu kubwa ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ii...iiii.. ileeee kuleta umoja na kuungana kuwa kitu kimoja,

Source by late, hon: nyerere.
 
Back
Top Bottom