Huu ni ushauri unaotokana na utafiti tuliofanya.
Ewe dada/mama kama kweli unampenda mumeo au mpenzi wako basi hakikisha kila anaposafiri safari inayozidi siku mbili tatu,unamfungaishia kondomu...
Mara ya kwanza nilikaa na kufikiria Shanisa wangu niliapa kuwa haitatokea mtu akatutenganisha nilijua namna gani nilitoa moyo wangu kwako.
Nami nikabaki nikitegemea pumzi yako nilikwambia hayo...
Salaam wanajukwa!!
Ni takribani miaka miwili tangia mh pombe aingie madarakani.mzunguko wa fedha umekuwa adimu mtaani hivyo kufanya baadhi ya sekta kuumizwa vibaya sana.moja ya sekta zilizoguswa...
Leo ni siku ya Bwana, ni siku ya kuabudu kwa maana ya kwenda kanisani, neno linasema wakusanyikapo wawili au watatu kwa jina langu nami nipo kati yao! Dhana ya uwingi hii... Basi nyanyuka jiandae...
Huyu jamaa nimemsikia akisifiwa na watu hapa kazini wanamwita mzimishaji ukimtizama ni kijana mdogo tu mwembamba na na hana kimo kikubwa.
Amefanikiwa rangi nyeupe na ukimwona ni kama ana aibu...
Ni barua ipi uliipata ikakuvutia kiasi kila ukikaa unatamani uifungue na kuisoma tena na tena.
Mimi nakumbuka barua yangu ya ajira nilipoipata ilikuwa surprise kubwa kwangu kwa sababu wakati huo...
UTAMU WA PM.
MTUNZI:
MICHAELRAY.
Itarushwa Kila jumamosi saa 20:30 Usiku.
Eneo lote lilifunikwa na giza huku ukungu na mawingu mazito angani yakifanya msitu ule kutisha. Msitu ulikuwa kimya...
Wakuu habari,
Kuna mazoea tumejijengea watanzania na hasa humu JF ya matumizi ya neno wife material je hivi hatuona kama tunawadhalilisha wanawake au dada zetu?
Kivipi?
Nimejaribu kutafuta...
Aisee imenibidi nitafute majibu ya hichi kitu kilicho kua kina nipa shida kujua huwa ni nini shida?
Unafanya mapenzi na mwanamke afu una sikia sauti ya kujampa/ushuzi ila hakuna harufu yoyote ile...
Kwa kiasi kikubwa sana wanawake wanaendeshwa sana na hisia, kwa asilimia kubwa kuliko kufikiria. Mimi kwa uzoefu wangu mbovu ni kuwa nimewahi kuwa gonga wanawake wakiwa katika hali hizi kuu(ambao...
Habari wana JF,
Hivi hii tabia ya wanaume kusingizia kuumia misuli na kushindwa kulala pale inapotekea nyoka amesimama ili tu apatiwe tendo la ndoa na mwanamke ikiwa mwanamke hayuko tayari...
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza...
Inaumiza. Unapompenda msichana ukaamua kuwa naye kwa heshima na taadhima. Unapoamua kujitoa kwake kwa hali na mali ili asidanganyike huko nje. Lakini yote yanakuwa ni bure.sisi wanaume wapole...
Kuna mchepuko tulikuwa tumeahidiana leo tukafanye yetu, nikawa nimejisogeza lodge huku napata maji baridi nikimsubiri, kwa kawaida huwa silipii chumba mpaka muhusika afike.
Sasa hiki kibinti...
Nimeajiriwa kwenye kampuni moja yapata mwaka sasa..kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana ila nikawa naogopa kumwambia kwani binti mambo safi ni mtu anajiweza anamiliki harrier lexus..sasa kuna...
Natoa povu kidogo,
Yani hawa wanawake tunaoa wa sikuhizi ni mizigo mitupu, unakuta umeishi vizuri tu kipindi cha ubachela wako maisha safi kabisa yasio kuwa na bugudha ila kwakuwa ni formalities...
Habibi Cassava big pana.... hehehehehee This is for you mashed pumpkin..... mmuah.
That dance..... that movement on the video... get ready for the rehasal hehehehehe. Am not getting enough of...
hello guys
baadhi ya wanawake wana tabia moja ya kumwita mwanaume "rafiki" pale unapomtongoza au anapohisi kuwa huyu mwanaume ananitaka kimapenzi..some women even go far na kukuita kaka.. i dont...
Ni muda kitambo nimekuwa nikimfukuzia binti huyu, bila mafanikio, sijui kasoro yangu, ijapo kuwa nabaki nikijikosoa mwenyew labda bcoz of money,au huwa najitoa ufaham kuwapenza wadada ambo sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.