Sauti ya uchuzi/kujampa wakati wa tendo

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
Aisee imenibidi nitafute majibu ya hichi kitu kilicho kua kina nipa shida kujua huwa ni nini shida?

Unafanya mapenzi na mwanamke afu una sikia sauti ya kujampa/ushuzi ila hakuna harufu yoyote ile isipo kua hii sauti.

Kumbe bana ni hali ya kawaida kabisa hutokea pale ambapo hewa hujaa ndani ya uke naku penya kutoka nje ya uke. Ndio hii sauti husikika.

Nilikua na wasiwasi na hii sauti ila sasa nikula tendo bila wasi.

Una mwenza mwenye kutoa hii sauti? Mwambie asiwe na shida ni hali ya kawaida kama alikua ana kuonea aibu wewe kidume au ina mkosesha amani.
 
Aisee imenibidi nitafute majibu ya hichi kitu kilicho kua kina nipa shida kujua huwa ni nini shida?

Una fanya mapenzi na mwanamke afu una sikia sauti ya kujampa/ushuzi ila hakuna harufu yoyote ile isipo kua hii sauti....

haaaaa kwa mwendo huu Magu ajipange aisee hatuna wataalam wa viwanda, waje tu wanyarwanda
 
Aisee imenibidi nitafute majibu ya hichi kitu kilicho kua kina nipa shida kujua huwa ni nini shida?

Una fanya mapenzi na mwanamke afu una sikia sauti ya kujampa/ushuzi ila hakuna harufu yoyote ile isipo kua hii sauti....

Kumbe bana ni hali ya kawaida kabisa hutokea pale ambapo hewa hujaa ndani ya uke naku penya kutoka nje ya uke. Ndio hii sauti husikika.

Nilikua na wasiwasi na hii sauti ila sasa nikula tendo bila wasi.

Una mwenza mwenye kutoa hii sauti? Mwambie asiwe na shida ni hali ya kawaida kama alikua ana kuonea aibu wewe kidume au ina mkosesha amani.
Utakuwa na kibamia ndio maana hewa inaingia
 
Duh hayo majanga usiombee, nilikuwa na G.F alikuwa akifika kitonga anapoteza network mpka anasusha gogo kitandani zaidi ya Mara 5 tulizokutana na hajawahi kwenda kizio cha mzingo
 
Sio kwamba una kabamia kanapwaya mkuu?

Weka picha tuone ka gegedo kako.tusije hukumu mdada wa watu bureee
 
Style ya doggy ndo chanzo cha hili hali hii humkuta mwanamke pale unapochomoa mashine yote nje na kuacha hewa ikaingia ... utakapo ingiza na kupump hewa lazma itoke nje ndo huko utakaposkia kama vile kajamba
 
Back
Top Bottom