Mkuu ndo walichotaka kufanya leo sema nimemwambia aje sehemu ambayo nataka mimi niwakaange vizuriNdugu koomaa katika mapenzi kwa huyo binti lkn ukijenga beef na hyo jamaa lazma anakajeshi kake anaweza tokea mmoja kumbe wapo kosi kesho kutwa yake wakaku**** nazani umenisoma
Katika mapenzi kunakudanganyana kama ni mkewe anaweza kukufanya kitu kibaya sana hadharani na polisi akaenda kuripoti mwenyewe ili wajue cha kumfanya polisi wenyewe. Stay tuned...Wakuu salamu zangu ziwafikie..
poleni na mihangaiko ya siku nzima,niende moja Kwa moja kwenye mada wakuu nimekuwa kwenye uhusiano na binti fulani huku chuoni kwa miezi 4 sasa sio vibaya nikisema naenjoy sana uhusiano nae ni binti mmoja muelewa sana aliwahi niambia alikuwa kwenye mahusiano na jamaa mmija hiv sikupenda kumfuatilia hata pale nilipojua anamsumbua mpenzi wangu nilijua tu mpenzi wangu ndo ataamua anahitaji kuwa nanani haswa
Kilichofanya niandike huu Uzi ni jana mchana kuna namba ngeni ilinipigia alikuwa jamaa akajitambulisha na kuniomba sana nionane naye anashida namimi na mambo mengi full kujichanganya nilikuwa na vipindi chuo nikampotezea japo nilimwambia nitamcheck akamleta hadi jamaa wa gari anichukue nikamwambia no way man nimetingwa sana sasa jana hiyo jioni babe mama ananipigia simu analia sijui jamaa jana mchana ameenda kwake amemtishia sana na mambo mengi ya kijinga jamaa ameamua kulioa kisasi na ananiwinda ofcourse nilicheka sana maana sio uanaume kuwindana kisa mapenzi na haswa wanaume wanawake wapo wengi sana nashangaa jamaa anataka tutekane na mambo ya kijinga
Nilichoamua nilimwambia jamaa kama anashida sana aje sehemu ambayo mimi nitamuelekeza alafu kuhusu huyu babe mama sijui nimfanye nini maana hajawahi niambia kuhusu huyu jamaa
Anakuja nambia now kisa jamaa amezinguana nae na kupigana juu sijajua nimuache ama nikomae nae
Ushauri wakuu aliekutana na situation hizi za kuwindwa kisa wanawake au wanaume aje hapa kutoa ushauri hata kama una experience shusha tu ushauri hapa na huyu babe mama nimpige chini au nimfanyaje??
Nawasilisha
Wakuu salamu zangu ziwafikie..

Shukrani mkuu nimepokea kwa mikono miwili ushauri wako maana nilikua nawaza hivi piachapa makofi kwanza huyo malaya then tafuta suruhu na huyo msela..mind u,pesa na mapenzi ndiyo sababu za vifo vingi hasa miongoni mwa vijana hapa duniani,usichukulie easy
Mkuu nimeshangaa sana huyu kudate na mtu mwingine maana nikastaarabu sana na kaelewa mnoKatika mapenzi kunakudanganyana kama ni mkewe anaweza kukufanya kitu kibaya sana hadharani na polisi akaenda kuripoti mwenyewe ili wajue cha kumfanya polisi wenyewe. Stay tuned...