Hatimaye leo napata ujasiri kwa kumsahau

Hatimaye leo napata ujasiri kwa kumsahau

uncle Bk

Senior Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
165
Reaction score
83
FB_IMG_15119004164837870.jpg
Ni muda kitambo nimekuwa nikimfukuzia binti huyu, bila mafanikio, sijui kasoro yangu, ijapo kuwa nabaki nikijikosoa mwenyew labda bcoz of money,au huwa najitoa ufaham kuwapenza wadada ambo sio level yng????
Ok acha tuu nimsahau,japo roho yaniuma coz nimemsubir tangu nikiwa primary until now nimemaliza Advance.
Daaah wadada wazur chonde chonde msitufanyie hivi...!!!!!
FB_IMG_15118988328179423.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_15118988328179423.jpg
    FB_IMG_15118988328179423.jpg
    101 KB · Views: 69
Mkuu w leta no tukupangie mtto akae level [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]izo hadithi za teremundo kuxubriana tka primary bhna
 
View attachment 640285Ni muda kitambo nimekuwa nikimfukuzia binti huyu, bila mafanikio, sijui kasoro yangu, ijapo kuwa nabaki nikijikosoa mwenyew labda bcoz of money,au huwa najitoa ufaham kuwapenza wadada ambo sio level yng????
Ok acha tuu nimsahau,japo roho yaniuma coz nimemsubir tangu nikiwa primary until now nimemaliza Advance.
Daaah wadada wazur chonde chonde msitufanyie hivi...!!!!!View attachment 640287
Makosa ya Kimtandao
 
Unastahili bora kuliko huyo.
Pengine haukumwambia, pengine ulimwambia ukiwa hujiamini.
Hata sasa unaweza kumwambia.
Unapomtongoza msichana usilie lie, mtongoze kwa kujiamini kabisa na wala usijali jibu atakalokupa. Huo ndio uanaume.
 
Toa picha za mwenzio huyo mtoto ana familia yake huoni unamdhalilisha
hahahahaa usitake kujua undan wa kwa nn nimeamua kuweka picha,
ila kma unaona picha zina mdhalilisha bhas fanyajitihada ili uzi huu ufutwe,
but inshort hakuna nilichomdhalilisha kwan sijanena lililo baya kwake hata moja.
 
Hata hujamsahau maan ungekua umepat ujasir huo wala usingejisumbua kupost hat picha yake
 
Una anika picha za mtoto wa watu kwa upunguani wako,,,alaf mbona mdogo ivo unajitia Kumaliza advanced lini??? Four ndo wamemaliza juzi??? Uku sio kwa watoto Tunaomba ukue
 
Naona Jf sasa inatumika kuanika watu hovyo hovyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sipati picha mzazi akiona picha ya mwanae uku.
Sema kabinti kanaonekana bado kabichibichi
 
Back
Top Bottom