nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 287
- 227
Nimeajiriwa kwenye kampuni moja yapata mwaka sasa..kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana ila nikawa naogopa kumwambia kwani binti mambo safi ni mtu anajiweza anamiliki harrier lexus..sasa kuna siku nimechelewa kutoka ofisini wakati natoka nikasikia akipiga story na mwenzake akimwambia jinsi gani ananikubali alienda mbali zaidi na kunisifia kuwa hajawahi kumwona kk handsome kama mm(wakati akiongea maneno haya hakuniona) basi kidume nikapata ujasiri wa kumtongoza..mpka napoandika hii message yapata mwaka sasa huyu dada hajanikubalia ananionyesha matumaini tu ila sijawahi kukubaliwa....sijui nafanyaje jamani