mafoleni
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 220
- 372
Kuna mchepuko tulikuwa tumeahidiana leo tukafanye yetu, nikawa nimejisogeza lodge huku napata maji baridi nikimsubiri, kwa kawaida huwa silipii chumba mpaka muhusika afike.
Sasa hiki kibinti kimenichomesha mahindi mpaka nimekoma...!napiga simu sound kibao, nikaona hapa leo nimezinguliwa ikabidi nikubali matokeo nikasepa…!
Kwa kuwa nilishaandaa kama hamsini elfu hivu kwa ajili ya lodge na mambo mengine nikaona hii ndo fursa kwa mama chanja ikabidi nipitie dukani kariakoo nikanunua gauni moja matata kali sana la 50 elfu,
Now nipo kwa mwendokasi na zawadi ya mke wangu nampelekea. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nimeingia phone book nimefuta contacts zake, sms na call log zote ""ANIKOME""