Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Acha wanaochezewa wakapewa elf 50, wakaacha no, wale walowekwa ndani. Hadhi ya mke, ndugu na mdada wa kazi haina tofauti, mipango yake anapanga na marafiki, mke anabaki mashine ya kufyatua...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu. Nimewahi kushuhudia kipindi cha awamu iliyopita, mwalimu mmoja wa primary alioa kwa kulipa mahari kiasi cha (7,000,000/=), milioni saba. Sasa huyo alikuwa ni primary teacher, bila shaka...
2 Reactions
79 Replies
9K Views
Nawasalimu wana JF wote, Rejea thread yangu ya kutafuta mume Ninapenda kumshukuru Mungu Baba, Muumba wa vyote kwa kuweza kunikutanisha na mwenza wa maisha yangu ya hapa duniani,kwa hatua...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam, Yani mwenzenu nikikutana na wadada/wanawake waliojichubua/wanaojichubua napatwa na kichefuchefu kabisa. Nikiona ile ngozi jinsi ilivyo na makunyanzi, nyekundu ka nguruwe au yale mabaka...
5 Reactions
72 Replies
12K Views
Idadi kubwa ya mabinti wa Kikristo ambao wamechelewa kuolewa, wengi wao sasa hivi ni mafull upako kuanzia post zao mitandaoni na hata maongezi yao. Ukiongea nao na kuomba appointment utasikia...
10 Reactions
113 Replies
11K Views
Nilipewa namba ya msichana na rafiki yangu mmoja, nilichat nae kwa muda mrefu hadi tukawa wapenzi. Kipindi cha karibuni nilimuuliza kiutani kama aliwahi kua na Boyfriend akawa hataki kunijibu...
0 Reactions
106 Replies
12K Views
Hi! Nimekuwa na mahusiano na huyu binti kwa mwaka na miezi nane sasa..To be honest nampenda sana...miezi mitatu iliyopita tulitokea kutokuelewana kati yangu na yeye baada ya yey kukuta sms...
6 Reactions
85 Replies
7K Views
Samahani, poleni na majukumu wakuu na sitaki kuwachosha, naomba nielekee kwenye mada moja kwa moja. Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kipindi fulani, nikaamua kuachana naye kwasababu ninazojua...
4 Reactions
88 Replies
7K Views
TANGA Bora nikaoe Tanga, tena bint wa Pangani, Yule anovaa kanga, na mitandio kichwani, Aongea kwa kuringa, na lafudhi ya kipwani, Awe na kauli njema, kwangu na kwa ikhwani. Pangani nikimkosa...
15 Reactions
70 Replies
11K Views
Habarini wakuu, Ushauri: Itumike kwa wapenzi na wachumba tu sio wanandoa. Kwa wale wenye wasi wasi na wapenzi wao naomba nilete kwenu mbinu inayoweza kukusaidia kupata conersation za mpenzi...
11 Reactions
240 Replies
59K Views
Jioneeeni hii dawa ambayo sasa wanaume wengi wameamua kwenda kuichukua kwa mhusika ili wawawekee wake zao ambao wanadanganyika na kuliwa vibubu vyao nje. Sasa inaonekana sisi wanaume...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana JF, Tunapokuwa tunafunga ndoa kanisani je huwa tunajiuliza juu ya kiapo hiki zaidi ya mara moja au kuokoa muda tunakubali tu bila kutafakali. Mimi _ _ _ _ ninakuchukua _ _ _ _ kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mm ni Kijana Wa miaka 27 ninataman na ninapenda nipate mama Wa hiali angalau namie nijivunie kutamka neno mama ,kulingana na kutokua na mama Mzazi kiukweli Nina miss kutamka kinywani mwangu neno...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
salaam zenu wadada mnaouza heshima zenu mkidhani mtawanasa na kuwavutia wanaume wawe committed nanyi...mnakosea !! mi kwangu nakufananisha na muuza karanga anaeingia bar na kukuta watu wanakunywa...
15 Reactions
81 Replies
7K Views
Mtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu...
7 Reactions
77 Replies
5K Views
Asalaam Aleykum ndugu zanguni wana MMU, leo nimebidi nije hapa kupata ujuzi wenu na busara zenu. Nimekuwa na mahusiano ya kila dizaini tangu nabalehe mpaka sasa wanawake wa kila aina vibonge...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nichukue fursa hii kuwapongeza sana kwa hatua ambayo mmepiga.Nafahamu jinsi mlivyoumia wakati nasitisha mahusiano nanyi kwa sababu ambazo hazina msingi wowote.Mlilialia mno pengine hamkulala...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeoa sasa nina mwaka mmoja. Imetokea kitu mke wangu kakasirika sana sa sijui ni kosa au sio kosa. Tunaishi Dar. Kuna rafiki yangu ambae tulisoma nae primary na secondary pia chuo UDSM...
7 Reactions
197 Replies
17K Views
Baada ya kuachana na mwanamke niliyedhani ni wa maisha yangu, nilikaa single kwa miaka kama miwili. Kipindi chote hicho sikua na hamu na mwanamke wala kuingia kwenye uhusiano tena na ndicho...
10 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom