Jaman mwezenu naulizia kama naweza pata mke humu ndani
My age:-30yrs
Colour :- black ila c kama mkaa.
Religion:- christian
Hobby:- listening praise & worship songs
Employer:- GOVERNMENT
Sifa za...
Jamani naomba nitoe ya moyoni hivi kwanini kabla ya ndoa watu ulikuwa wakati mpo kitandani mnakumbatiana mnalala kimahaba.
After few months kila mtu analala kivyake tena kupeana migongo ukiona...
Mabibi na mabwana, nawasalimu nyote kwa mpigo,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Je ni wakati gani muafaka wa kumuonyesha na kumuhusisha mpenzi wako wa kike mali unazomiliki?
Nimesema...
jana nlifanikiwa kumweka sawa mrembo mmoja nikawa nmemkaribisha nyumban maana alikuja toka arusha kikazi baada ya kumaliza siku zao za kazi ambazo walifikia hotelini then akawa tayari kuhamia...
Nataka kuuliza kwenu nyie mnaejiita wanaume na bado hamshi kulalamika hovyo kama wanawake.
Nashangaa kuona eti mtu anajiita mwanaume kuja kulia lia mtandoani eti anachukuliwa sijui mchumba wake...
Hii ni story nzuri na Tamu ambapo Mama mmoja alisikika akisema bora ufe,tupumue baada ya mme wake kumtesa mkewe kwa Muda mrefu.
Story kamili nitawaletea.
Siyo ya kukosa. Ni story iliyojaa...
Kuacha ngono ni msingi wa maisha bora na ya furaha katika maisha ya mwanadanu.
Kimaendeleo na upendo bora ndani ya ndoa yako hutokaa ujutie.
Kutoka nje ya ndoa ni mvurugano wa moyo na akili...
Hivi inakuwaje mwanamke anafikia hatua anamtawala mwanaume wake na inafika hatua anakuamrisha anachotaka unakubali bila kupinga.
Nazungumza hivyo huku nafikiria yanayotokea Zimbambwe over grace...
Ndugu wana jamvi,
Mchumba wa jamaa yangu hataki kuamshwa akilala kutoa penzi anataka akimaliza iishie hapo hapo tu. Na akiamshwa huwa mkali kama chui kwa jamaa yangu.
Ndugu zangu naombeni...
Salam aleikoum,
Je maisha magumu yanaweza kumfanya mwanamke kua changudoa au malaya? mimi siamini kabisa naona kujiendekeza na uvivu wa kufanya kazi. we unaonaje maisha magumu yanaweza kumfanya...
Salute MMU members
Nimeshuhudia mara kadhaa humu jamvini watu wakifunguka kinagaubaga kwa member wenzao kwa kuvutia na ID au Avatar ya mtu , pia na jinsi mtu anavyotoa michango yake katika...
Rumor has it that the army’s intelligence chief announced to Mugabe that his wife, Grace Mugabe was sleeping around with the young ministers in Mugabe’s cabinet.
Source:
thezimbambwemail.com...
Habari, ndugu zangu wa Jf,
Najua kila mtu uzuri wa mwonekano wa mwanamke ana namna ambavyo anaweza akautafsiri,binafsi kwa upeo wa macho Yangu nimeshawahi kukutana na mwanamke mzuri kuliko wote...
Habari zenu wakuu,nimekuwa na mahusiano na binti mmoja huu ni mwaka wa nne na niwe mkweli tunapendana sana na uyu binti maana mapenzi ameyajulia kwangu kwani mimi ndiye niliye mtoa bikra,tangu...
Nianze kwa maneno ya Mtukufu Rais Mugabe aliyowahi kusema 'when a beautiful woman has no brain her private parts suffers most'.Mada hii inahusu baadhi ya wasichana waliofika kwenye fainali za miss...
Salaam wadau,
Kuna swali huwa najiuliza ukweli/uhalisia wake huku nikijua hii sababu huwa ni mojawapo ya wadada kumpa mwanaume penzi.
Hivi ni kweli unaweza kumpa mwanaume penzi kisa umemuonea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.