Wanawake mlio kwenye ndoa mjiheshimu

Wanawake mlio kwenye ndoa mjiheshimu

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Natoa povu kidogo,

Yani hawa wanawake tunaoa wa sikuhizi ni mizigo mitupu, unakuta umeishi vizuri tu kipindi cha ubachela wako maisha safi kabisa yasio kuwa na bugudha ila kwakuwa ni formalities tu za maisha na kiafrika unaamua kuoa mwanamke unaweka ndani, mwanzo anakuwa mtu kweli, mkishazoeana ndani huko, ndo utajua kwamba duniani hakuna kosa kubwa kama kuoa.

Wanawake walio wengi ya sikuhizi ni michafu, haijali, kitandani ndo mizigo iliyopitiliza, kila kazi anafanya beki tatu, yani hata ile karibu chakula anakwambia beki tatu.

Siku ya kupika chips ama pilau ndo utayaona jikoni, ina nyodo za kijinga mpaka mtu unaweza hivi huyu ningemkuta na bikra yake ingekuaje wanawake mjirekebishe tunakuwa kimya sio kwamba tunapenda, ni heshima tu.
 
Ndo zao, baada ya kumpenda mwanaume yeye analeta mazoea, me aisee nasemaga wazi kuwa hapa kupendana ndo motto mazoea sitaendekeza at all.
 
Duuh kama ungemweleza tu vizuri kuna tatizo? Ulivyoeleza hapa atakuwa kapata ujumbe? Hii ngumu kumeza,ila busara ungekaa nae tu kumwelewesha na umuulize kwa nini kabadilika
Kaumbwa hivyo
 
Kabla hujamuoa huchunguzi tabia?!
Ndio faida ya kutongoza asubuhi mchana uchumba jioni ukumbini kucheza kwaito..... Usicheze na kizazi cha DOT.COM
 
Kabla hujamuoa huchunguzi tabia?!
Ndio faida ya kutongoza asubuhi mchana uchumba jioni ukumbini kucheza kwaito..... Usicheze na kizazi cha DOT.COM
Tabia huwezi kujua zote afterall kwa kizazi hiki ukijifanya kuchunguza ndo hutakuja kuoa kabisa...
 
Tabia huwezi kujua zote afterall kwa kizazi hiki ukijifanya kuchunguza ndo hutakuja kuoa kabisa...
Lakini kuna tabia nyingine pia unaweza ambiwa hata na watu

Watu wananyima ugali sio maneno mkuu
 
Dada zangu msiwe mnatoroka unyagoni.


Kabla sijasahau pia msikilize yale ya kichen pati ila mchanganye na bongo zenu [In jk voice]
 
Hahaha kucha zimepakwa rangi alafu ndefu nguo anafua tu juu juu hata hazitakati vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom