Hi JF.
Nina mke mmoja kutokana na majukumu tuliyonayo nimejadili na mke wangu niongeze mrembo kisura sana.
Awe na sifa zifuatazo;
1.Mpenda maendeleo.
2.Maji ya kunde.
3.Asiwe mwembamba sana...
Salaam wajameni, hope mmemaliza siku salama na ilikuwa ni siku ya mafanikio.
Wiki kadhaa zilizopita mimi na mke wangu tulipata likizo ila yangu ilikuwa ni wiki mbili na yake ni ya mwezi mzima...
huyu dada nlivyoanza naye nilimpenda kutokana na ubabe wa kimapenzi aliokuwa nao.ni aina ya wanawake ambao huwa wana take control alikuwa anajiamini sana ingawa alikuwa ni form four tu ila...
Nahisi huu ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine maana nimeshangaa kuna jamaa kadhaa waki storisha kuwa wana tamani sana kufanya mapenzi na wanawake wajawazito. Jamaa mwingine yeye ndo akiona mwanamke...
Kiukweli huwa najiuliza kwanini wazazi huwa wanakataza watoto wao wasioe kabila fulani?
Mfano mimi mama yangu hataki nioe kina Tununu so huwa najitahidi isitokee hata bahati mbaya nikawa nao...
Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu katika mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi minne sasa.
Ninampenda na yeye ananipenda kweli kweli
Tangu tuanze mahusiano yetu nimekuwa nikivutiwa sana...
Nimeona wadada kadhaa walioolewa muda mfupi wakionekana bila ya kuwa na pete za ndoa. Huwa wanasahau kuvaa makusudi au huzivua baada ya mambo kuchacha?
Naombeni majibu wataalam wa hili eneo.
Wakuu,
Baada ya muda mrefu kupita huyu binti sasa anasumbua eti amejaribu mahusiano mengine ameona hana chemistry kabisa na hao watu hahahah, basi na mimi nimeamua kumtesa.
Najifanya kama naweza...
Inapotokea umejenga urafiki tu wakawaida na mfanyakazi mwenzako wa kike na anajua kabisa kwamba una mke lakini katika mazingira tu yakawaida wakati mnapiga stori anakuuliza "Hivi Mr X kwanini...
Mimi ni mwanaume wa miaka 48 natafuta mke wa kuoa umri wowote awe mrefu awe mwembamba awe mweupe.
Mimi ni maji ya kunde nina urefu wa futi 5 na inchi 7 maji ya kunde slimbody nipo Dar nipo...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Nina mpenzi ambaye if allah wishes tutaishi pamoja kama mke na mume mapema mwaka maana ndio dua zetu always.
Sasa katika mazungumzo yake kila siku huwa...
Kibamia ni msemo maarufu unaomaanisha uume mdogo.Ni tatizo linalokuja kwa kasi sambamba na ukosefu wa nguvu za kiume kwenye mada moja kuna mtu akauliza mbona mwanzoni hakukuwa na vibamia? Ukweli...
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of...
Wakuu wasaalam
Moja kwa moja kwenye hoja. Usemi wa singida dodoma si usemi mgeni kwa wadau hasa mliokula chumvi nyngi kidogo. Naamini mnaelewa nazungumzia nini.
Lazima nikiri nina miaka mingi...
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA
(Kopi kwa wanawake wote mlioolewa)
Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao...
Writing for someone..
Mwaka jana mwezi wa sita aliajiriwa dada mmoja mzuriiiiii ofisini kwetu, kama ilivyo kawaida kwenye sehemu nyingi zenye ma bachelor na ma bachelorete, watu tulianza kumtolea...
Hii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!
Ingia...
HIVI UNAMKUMBUKA YULE MWANAMKE
Alikutana na wewe ukiwa kijana kabisa, ukiwa ndiyo unayaanza maisha ndani ya chumba kimoja na kitanda tu. Unamkumbuka yule mwanamke, yeye alikua bado anaishi na...
Usafi huu sio wa nguo tu na kunukia,ni zaidi ya hilo...
Usafi unaanzia ndani..Msaidie Mwanaume awe msafi pia,rohoni hadi mwilini...Rohoni how??? Jitu halisali,halikumbuki kuna Mungu,lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.