Hakikisha unamfungashia kondom wakati anasafiri

Hakikisha unamfungashia kondom wakati anasafiri

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,822
Reaction score
140,854
Huu ni ushauri unaotokana na utafiti tuliofanya.

Ewe dada/mama kama kweli unampenda mumeo au mpenzi wako basi hakikisha kila anaposafiri safari inayozidi siku mbili tatu,unamfungaishia kondomu za kutosha za kiume

Unapoacha kufanya hivyo unakuwa unahatarisha afya yake na yako pia. Wanaume wengi wanapopata wanawake wa fasta fasta "loose balls" hukumbuka kondom wakati anachomoa baada ya kumwaga. Unapokuwa umemfungia kondomu kwenye begi ni rahisi kuchumpa na kuvaa haraka kabla haijalala

Tena kondomu za rough Ryder zitamfaa zaidi kwa sababu unapozifaa unajisikia kama hujavaa kitu,utamu unakuwa palepale. Hizi kondom ni ghali lakini safi sana. Tofauti na salama kondom ambazo anaweza kuzivua na kutembelea ringi
 
Mh kwaiyo ww mtu wako kakwambia anapenda sana condom
 
Huo ni mtego ambao kuna wataalam wa uzinzi wameshagundua namna ya kuukwepa.
 
Ni kweli kabisa mi nashangaa wanawake wengine akifuma kondom kwa mume anakomaa, analia, analalama badala ya kushukuru

Sent from my HUAWEI Y600-U40 using JamiiForums mobile app
 
mmh...hii hoja tenge ngoja wachangie wengine kwanza.
 
Back
Top Bottom