Baba ataki mtoto abadili dini kisa mwanaume

Baba ataki mtoto abadili dini kisa mwanaume

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
1,023
Reaction score
837
Habari za jion wadau, nimeona nilete hapa hili tukio mana najua lazima msaada utapatikana, iko hivi kuna rafiki yangu ana mtu wake (mchumba wake) kwa maelezo anadai kuwa anampenda sana kwani wamekaa mda zaidi ya miaka 4 sasa ndani ya mahusiano yao, jamaa mkristu binti mwislamu sasa tangu mwanzo dalili kubwa mzee alizionyesha kwa binti yake ataki aolewe na mwislam na binti amekufa ameoza, kamaliza chuo anataka kuolewa sasa, mambo yakawa hiv kwa mzee wake

1.Kauli ya kwanza mzee kasema ataki binti abadili dini

2.Binti akibadili dini hamtambui tena na hatamtambua,kauli kubwa zaidi ni hii

3.Akifanya hivyo basi atamuokotesha makopo huyu jamaa anaye muowa binti yake na ukweli uko hivi huyu jamaa ana mambo ya hivyo hivyo ni wale watu wa kutafutaga shilingi za lupia(misheni town sana) sasa wakuu tafadhali naomba tuwe sehemu ya msaada maana binti ameponea chupu chupu kufa kwa kunywa sumu.

Jamaa naye anadai anampenda sana binti, samahni kwa kuwachosha naomba tumsaidie japo mawazo.
 
Mzee aache kumpangia bint dini,

Wokovu ni wa mtu mmoja mmoja,sio familia au kikund cha watu.

HUKUMU ni ya peke yako, huyo mzee aelewe hatufati dini kwa kuwa baba ni mkristo au muislamu. ,ila tunafata dini baada ya kuielewa na kukubali kuiishi hiyo dini.
 
Kuna muvi moja inaitwa Guess who is coming to dinner

Tatizo la watu wakishakuwa wazee wanasahau jinsi mahaba yanavyochanganya wakati wa ujana sababu hata wao walikuwa vijana
 
Watu nyingine katili sasa kwanini amuokoteshe makopo au mungu wa dini Yao ndo anapenda hivyo.?
 
Sasa kama jamaa kampenda sana siabadili hata yeye pia itapendeza
 
Hata Mimi siwezi ruhusu binti au kijana wangu abadilishe dini sababu ya ndoa..haiwezekani ..Badili dini kwa kuona hii njia sio sahihi kwakwel hainifikishi sio et ili uolewe au uoe
..Labda na mimi ni old skull saana Mtanisamehe
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Watu nyingine katili sasa kwanini amuokoteshe makopo au mungu wa dini Yao ndo anapenda hivyo.?
Na kwa kifupi tu baba yake huyu binti naye alimbadilisha mke wake dini akawa mwislam,lakini wakaachana kila mtu kaludi kwenye dini yake
 
Suala LA dini ktk mahusiano ni changamoto mno
Kwani dini ni suala la mtu binafsi au la watu??
Mimi mtu akimkataza mwingine asihame dini hiyo na vitisho kwamba nitakutenga basi hiyo ndio tiketi namba moja ya kujua kuwa Hiyo dini aliyopo NI YA UONGO
 
Mapenzi yanaposhika hatamu hisia hutawala kuliko uhalisia.......Hisia zinapotawala matumizi ya akili hupungua kama sio kutoweka kabisa........na ndio maana unaweza ukajikuta unafanya jambo la ajabu na la hatari kwa ajili ya mapenzi.....miaka kadhaa mbele ukikukumbuka unajiona mjinga......

Katika ulimwengu wa mapenzi kila mmoja anajiona yupo sahihi na hakuna anayetaka kusahihishwa Isipokuwa kuungana nao kwenye ulimwengu wao wa mapenzi.........

Wazazi kwa kulitambua hili ndio maana siku zote hujitahidi kuingilia kati mahusiano ya vijana hasa yanapofikia kwenye kufanya maamuzi mazito kama haya......

UNAWEZA UKAONA UMEPATA KUMBE NDIO UMEKOSA AU UKAONA UMEKOSA KUMBE NDIO UMEPATA.....
 
Nimekuelewa mkuu,,vipi katika hapo ushauli wako wa moja kwa moja mkuu,,
 
Kwan lazma waoane si waonjane kibishi tu adi kifo kitakapo watenganisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]au wakafungie mahakamani
 
Nimekuelewa mkuu,,vipi katika hapo ushauli wako wa moja kwa moja mkuu,,
Huyo binti anatakiwa ajitoe kwenye ulimwengu alafu atathmini uamuzi wake katika uhalisia wake.....alafu aringanishe na hoja za baba yake.....jibu atakalopata ndio limsukume kufanya maamuzi
 
Habar za jion wadau,,nimeona nilete hapa hili tukio mana najua lazima msaada utapatikana,,iko hiv kuna rafiki yangu ana mtu wake (mchumba wake) kwa maelezo anadai kuwa anampenda sana kwani wamekaa mda zaidi ya miaka 4 sasa ndani ya mahusiano yao,jamaa mkristu binti mwislamu sasa tangu mwanzo dalili kubwa mzee alizionyesha kwa binti yake ataki aolewe na mwislam na binti amekufa ameoza,kamaliza chuo anataka kuolewa sasa,,mambo yakawa hiv kwa mzee wake
1,,kauli ya kwanza mzee kasema ataki binti abadili dini
2,binti akibadili dini hamtambui tena na hatamtambua,kauli kubwa zaidi ni hii
3,akifanya hivyo basi atamuokotesha makopo huyu jamaa anaye muowa binti yake,na ukweli uko hiv huyu jamaa ana mambo ya hivyo hivyo ni wale watu wa kutafutaga shilingi za lupia(mishen town sana) sas wakuu tafadhali naomba tuwe sehemu ya msaada mana binti ameponea chupu chupu kufa kwa kunywa sumu,,jamaa naye anadai anampenda sana binti,,samahni kwa kuwachosha naomba tumsaidie japo mawazo,,
Kwa mukhtasar tu.. huyo Rafiki yako kwa nini yeye asibadili dini ili ampunguzie stress na misongo ya mpendwa wake juu ya baba na familia kama kweli ansmpenda?????????
Huyu mwanaume ni muongo na tapeli wa mapenzi!! bisha
 
Kubadili dini kama ni mtoto wangu sikukatazi ila siyo kwasababu ya mapenzi
 
Back
Top Bottom