Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mwanake

Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mwanake

mzungu wa roho

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
209
Reaction score
141
Wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo fulani, huyu mwanamke mara nyingi amekuwa akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa, simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji.

Naombeni msaada wakuu nifanyeje? Nimjibuje? Pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo? Ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa?
 
Bila shaka ,demu wako niyule alotuletea Uzi humu akilalamika ...Humpi matumizi na siku izi umebadilika kiutendaji kitandani...

Yaaan mwanangu ulichokiandika ..ndo demu naye alikiandika ..nawote niwanafunzi ....nakama wewe nimwanamme Wa mkoani ..nampo Dar ...basi ndo wenyewe mkuu.

Sema nn ,,asikufanye ukawa namadeni au ukaiba ......asipokuelewa PIGA CHINI.
 
mkuu sio huyo mi demu wangu hata smartphone hana wala jamii forums hayupo ndo kwanza ananzingua nimnunulie smartphone
 
Aaahhhh asikusumbue sana kichwa mkuuu . Wala usipoteze muda kuwaza namna yakuvipata ivo vitu wakat ninje ya uwezo wako.
mkuu tatizo ananitupia lawama eti nitafute kazi ya kufanya au biashara yoyote ili mambo yaende ,while mimi kwa ratiba yangu na uwezo wangu inakua ngumu
 
Focus na shule dogo acha kupoteza muda na watu ambao hawatakusaidia katika maisha au career yako.Huyo demu hana cha kukusaidia kwa sasa zaidi ya kukuumiza kifikra na kiuchumi,nahisi umri wenu ni 20-23 katika umri huu mapenzi sio lazima.
asante kwa ushauri mkuu
 
mkuu tatizo ananitupia lawama eti nitafute kazi ya kufanya au biashara yoyote ili mambo yaende ,while mimi kwa ratiba yangu na uwezo wangu inakua ngumu
Well km ulivyosema ,,uwez kujoshugulisha nakazi sababu ya muda ..usijiforce wala nn....utaishia ku carry alafu mwisho Umchukie nautakapomchukia mnaachana...

Embu hakikisha unamshape aendane na mazingira yako.
 
mkuu huyu dem mi ndo bwana ake wa kwanza na pia mi ndo nimemtoa bikra ,ananipenda na nampenda ila hapo tuu ndo tunataka kushindana
Umeingia agano la damu mkuu...
Usimuache siku hizi wanasema karma is a bitch.!
Mwambie ukweli tena wakati wa chakula!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom