Ukitaka kusalimika mapema msimu huu wa sikukuu na mizinga ya hapa na pale fanya hivi!kama wewe ni member hapa Jf na ulizoea kwenda Pm za wadada wa hapa Jf badilisha ID kabisa,kama unatumia fb...
Habari.
Kwa wale wanawake ambao wako eidha ktk mahusiano au wamedhamiria kabisa kuwa hawataki kusumbuliwa na wanaume kutongozwa tongozwa, waweza jilipua kwa kuwaambia WEWE NI MUATHIRIKA. Ingawa...
Habar za majukumu wakuu, mm n kijana wa miaka 25 jinsia ya kiume nimekuwa nikisumbuliwa na (ashiki/shauku/mihemko) ya kufanya mapenz mara kwa mara, baada ya kuachana na michepuko na kuamua...
Kama ni sex sio lazima kivile katika maisha, kuwa na familia pia ni muhimu lakini sio lazima.
So ya nini kuishi na jitu ambalo lenyewe litataka kuwa liboss lako,yaani nilipikie, nilifulie...
:
•Sex; yaani Ngono; Sex inapokua mapema ni kama kulisha kuku wa kisasa. Inafanya mahusiano yakue haraka bila kuwa na uimara au ubora wenye virutubisho vyenye ladha. :
.
Sex ya mapema inatengeneza...
Baada ya mashindano ya CECAFA kuisha kuliibuka maswali mengi ambayo pengine yale mashindano yalipaswa yatumike kama study ya umuhimu na kazi za chakula.
Wanaume wengi wa vijijini wamekuwa na...
[emoji121]
WAKUU,
NIMETAFAKARI SANA,
HIVI NI NANI ALIYEANZISHA HUU UTARATIBU WA KUWA UNALIPA ELFU 50 MCHANGO WA HARUSI,
HALAFU UNAKULA KIPAPATIO CHA KUKU TU NA MAJI MADOGO!!!
WAKATI HIYO HELA...
Kwa kujadili hii maada nimependelea kwanza nioneshe historia japo kwa ufupi ya safari ya maisha kati ya hawa wanamziki wa Tanzania Belle 9 na Diamond tuone jinsi gani mmoja wao Mahusiano ya...
Yaan nna msururu wa wadada,ambao no future.sanasana wanakula hela zangu tuu,wakija kwangu ni kula tuuu na kunywa,hzo matumiz si nafungua kiwanda cha textile jameni.vijana tutafakar saana
Habarini za asubuhi,
Hivi kuna mtu yeyote imeshawahi mkuta una girl wako alafu hana hisia kabisa?
Alafu mnamipango ya kufunga ndoa,tuongee ukweli kwetu wanaume,tunaweza funga ndoa na mtu wa...
Ni hv nimeamka zangu mapema nikasema Leo Nina buku 6 acha nikanunue nyama nipike nile gheto nipumzike kula ugali na Mayai!basi wakati nimefika tu sokoni nakutana na koloni langu(Japo nilishampa...
Vijana msisubiri sana kuanza maisha, mambo ya kusema unajipanga bado itakuja kukugharimu. Umri ukifika anza familia yako, anza kwa kuwa na mtoto au watoto kama kuoa hauko tayari bado.
Ulimwengu wa...
Wasalaam,
Mimi ni binti wa miaka 24, nimebahatika kupata mtoto wa kiume!
Let's say mwanangu alipewa jina X na baba yake, na mm nikampa jina Y na ndilo analolitumia.
Sasa imetokea kuwa mzozo...
Habari za ujenzi wa Taifa wadau Wa jukwaa letu pendwa,,
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Hivi karibuni ninaenda ukweni kutoa mahari lkn tatizo ninaloona Mimi ni kuhusu mipango ya ndoa yani...
Wakuu salama.
Karibuni katika hii thread maalamu tujipe hongera wale wote ambao mahusiano yetu ya kimapenzi yameweza kufika mwezi desember,maana haikuwa kazi rahisi.
Hayakuwa mapenzi yetu sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.