Kusalitiwa na mchumba angu

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
561
156
Kama kichwa kinavyoonesha mimi nimesalitiwa na mume wangu ila alifika kuniambia mwenyewe kwamba anaomba radhi amenisaliti ananipenda sana hakutaka kukaa na icho kitu moyoni mwake tunaixh mbali mbali.
 
Naweza sema ni mchumba coz hatuishi pamoja yeye yupo masomoni mimi nipo kazini
 
Huyo muongo sio kama amekuambia ukweli Bali ameamua kukuonyesha kua wewe sio chochote kwake yaani hujui mambo ndio maana kachepuka ,mwanaume wa kweli hawezi kuongea ujinga kama huo ,hizo ni dharau kubwa saana
 
Kama kichwa kinavyoonesha mimi nimesalitiwa na mume wangu ila alifika kuniambia mwenyewe kwamba anaomba radhi amenisaliti ananipenda sana hakutaka kukaa na icho kitu moyoni mwake tunaixh mbali mbali.
Njoo PM na SISI (mimi na ww ) tumsaliti dawa ya moto ni moto!! Then utaenda kumuomba msamaha!!
 
Amekusalitii afuu anakwambia..!????? Huyoo hakupendii kabisaa na amekuchokaaa
 
Dada vumilia tu huwezi pata mwanaume ambaye hawezi chepuka katika maisha.Kama anakuheshimu Shukuru Mungu na endelea naye na cha msingi ni kuvumilian
 
Back
Top Bottom