Atakua anamsemea Wema Sepenga......[emoji12] [emoji12] [emoji12]Unaongelea Giggy money
Kwa mujibu wa TwawezaHabari wadau?
Katika pita pita zangu nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua asilimia kubwa ya wadada wengi wenye shepu nzuri wana sura mbaya contrary kabisa na shepu zao...vipi wewe huko uliko?
Nawasilisha
Kweli kabisa aiseeHabari wadau?
Katika pita pita zangu nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua asilimia kubwa ya wadada wengi wenye shepu nzuri wana sura mbaya contrary kabisa na shepu zao...vipi wewe huko uliko?
Nawasilisha
Uongo mtupu!! Mimi mbona nina sura nzuri na shape nzuri nayo nimejaliwa.